You are too emotional...please come down. Kaipatia wapi hiyo Ph. D? Utafiti wake ulihusu nini? Badala ya kuhemuka tu na kusifia kichawa angalau kuwa objective kidogo na uongelee kuhusu hiyo Ph.D ya Mchungaji wako....PAST ANAEJIELEWA ANAEJUA NN MAANA YA MAENDELEO YA KANISA
BE BLESSED
Thesis yake imehusu nini?Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana.
Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika hata na TCU. Shame!!! My friend, My brother and My Pastor, Rev. Dr Mastahi, you deserve this and I salute you. "Give honor to whom honor is due"
My question too ingawa mimi ni mlutheri piaThesis yake imehusu nini?
Sadaka ya kuteketezaThesis yake imehusu nini?
Hilo andiko sio lako ni la Dr. Chriss Mauki ulipaswa ufanye citation ila umafanya kuwa ni wewe umetoa ujumbe huuKiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana.