Lkn shukuru mungu na mods pia kukupa cheo hicho au tuzo hiyo,kuna wengine wanaisaka mda mrefu hawajafikia hapo 😂😂🤣Wengine tumeganda hapo kwenye JF Expert kwa miaka mingi sasa hatujapandishwa daraja😆.
Kila ukipanda ngazi 1 unatumiwa milioni 1 mkuuAaaah sawa tu kwani nikiwa expert Kuna commission yoyote napata?
haka kakomenti kana saundi ya kike hiviWe nawe!!?ndio nini Sasa we jamaa!
plural of "staff" can be either "staffs" or "staves", depending on the context. "Staffs" is generally used when referring to groups of employees or the people who make up a work organization, while "staves" is used for sticksStaffs? Kweli? Plural ya staff ni staffs? Haya fanya editing haraka sana, la sivyo utashushwa kutoka Jf expert
Shkran🙏🙏Hongera familia
Jinsi kuwa verified soma hapaThank you bro nataka unipe Siri yakuwa platinum member na kuwa verified
Akipata cha kufurahia wacha ajipongeze, ni mafanikio kwakeWe nawe!!?ndio nini Sasa we jamaa!
Mkuu upo?Akipata cha kufurahia wacha ajipongeze, ni mafanikio kwake
Finally na mimi nimekuwa jf-expert member thank you jf staffsView attachment 3330545
Nipo ndgu yangu, kigamboni wanasemaje?Mkuu upo?