Hii sasa dharau yani ndo yupo cheap kiwango hichi? Hv na mzigua ,atoto unaweza waandikia hv?
Sent using Jamii Forums mobile app
utani hahaa sawa mkuu ujumbe umefikaHii ndio tafasiri sahihi ya kwamba
[emoji117][emoji117]DEMU AKIWA MRAHISI BASI ATAAMBIWA KILA AINA YA LUGHA RAHISI.
Maneno kama haya, Huwezi kaa umwandikie Faiza Fox..kwann??!!!! .
Kwa sababu kwa kila mmoja alivyojichora ndivo na jamii inavyomchukulia.
Najua unatania..hata mimi nimetania tu.
Hahahah,umepotea wewee mgonvi sanaKwamba tukifika Dodoma tunamuona demiss sio mchoyo hahhahah JF tunazinguana sana
[emoji23][emoji23][emoji23] uwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna comments unasoma unaenda kuchekea pembeni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahahahahAlisikika mlevi mmoja akiongea mwenyewe barabarani.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ukinichukua Mimi na mleta Uzi nani mgomvi ..uliishahamia dom nikutembelee?
Mi nipo mwanza utaanzaje sasa?Hivi ukinichukua Mimi na mleta Uzi nani mgomvi ..uliishahamia dom nikutembelee?
AiseeeHuyu dada naambiwa ndo MPOKEAJI MKUBWA HAPO DODOMA... WANA JF WENGI WAKIENDA DOM WANAKIRIMIWA NA DEMISS ANA MOYO WA UKARIMU SANA. binafsi nmeanza kuamini sababu kuna watu kadhaa wamenambia ukienda Dom mtafute tu demiss na namba zake nlipewa.
Aendelee na moyo huo huo wa kukarimu members wa JF. Hakuna kitu kibaya unaenda mkoani unafikia hotel au lodge huna mwenyeji... Unaona kama unapoteza tu pesa kulala pale. Ni bora uwe unalala stand au uwanja wa mpira
ha ha ha ha ha
Ntaanza yovyote tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuliwa ni bahati eti siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...hauna hata tarakimu? Dah..[emoji1787][emoji1787][emoji41]Mtongozo wa nguvu
Dah...Chief mbona kurudisha usichana mchina analipisha buku 3 tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Trust me, naposema nina sababu zaidi ya Buku kumsimamia namaanisha.
Ktk umri wa Utu uzima wake
1---Nilimkuta na usichana wake .....kila napotafakari hii kitu, Nikiutizama uzuri wa sura yake, shape lake matata, hips zilizokimbiana., mimi ninani???? Inamaana changamoto zoooote mpaka anamaliza Chuo kikuu, hakuwahi kutongozwa???!!!.
Hapa ndipo napataga nguvu ya kusema , Maisha ni Uchaguzi, ukiweza kuchagua. Umechagua kuweza .