Mara umeme wa maji umepitwa na wakati ,huku hata mataifa mengine kama China ,Brazil ,Canada na Ephiopia hao wanaouza mpaka nje wana huo huo umeme wa Maji .
Kwa sasa hata tuwe na multi source of electricity, mgao hauwezi Isha. Labda miaka kuanzia 10 ijayo.Yes ku rely kwenye wa maji tu ni biggest single source of failure, as time inazidi dunia inatafuta vyanzo vingine zaidi ya maji. Imagine tanzania tungekuwa na multiple sources za umeme? Leo hii tungepata shida ya mgao?
Inga Dam ni mwaka wa 20 inazungumziwa hiiwakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.
cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
KWw nchi zenye uhakika wa wa maji,mfano Congo ina uhakika wa maji kwa asilimia 100, the same America kusini, angalia Zambia na South Africa wanavyo teseka na mabwawa ya umeme, kwa nchi kama Tanzania ambako kiwango cha uharibifu wa mazingira kiko juu sana, kutegemea umeme wa maji ni hatari tupuMara umeme wa maji umepitwa na wakati ,huku hata mataifa mengine kama China ,Brazil ,Canada na Ephiopia hao wanaouza mpaka nje wana huo huo umeme wa Maji .
KWw nchi zenye uhakika wa wa maji,mfano Congo ina uhakika wa maji kwa asilimia 100, the same America kusini, angalia Zambia na South Africa wanavyo teseka na mabwawa ya umeme, kwa nchi kama Tanzania ambako kiwango cha uharibifu wa mazingira kiko juu sana, kutegemea umeme wa maji ni hatari tupu
Kwa sasa hata tuwe na multi source of electricity, mgao hauwezi Isha. Labda miaka kuanzia 10 ijayo.
Maybe but hakuna njia ya kujua for shure, but modern development haitegemei singe source, hizo zama ni za enzi za uhuruKwa sasa hata tuwe na multi source of electricity, mgao hauwezi Isha. Labda miaka kuanzia 10 ijayo.
Utasumbuka bure tu ndugu yangu,wengine wana hulka tu za kupinga kila kitu,ulitaka tanzagiza izalishe umeme kutokana na nini labda ?
Vichwa ndama au pingapinga ni wengi mno!, almost 60%, wana macho lakini wametia upofu, chadema inaharibu sana vijana, sijui inawalisha aina gani ya upumbavu, hawaoni jema, hata wameshindwa kutoa pongezi kwa serekali kwa mradi mzuri wa rufiji kuanza kazi /Utasumbuka bure tu ndugu yangu,wengine wana hulka tu za kupinga kila kitu,
Miaka kumi ijayo mgao utakuwa mkubwa mara 5 zaidi ya huuKwa sasa hata tuwe na multi source of electricity, mgao hauwezi Isha. Labda miaka kuanzia 10 ijayo.
Miaka 10 ijayo serikali itakuwa imekuja na chanzo kipya cha umeme tuipongeze serikali japo kwa kujitahidi kujenga hili bwawa.Miaka kumi ijayo mgao utakuwa mkubwa mara 5 zaidi ya huu
Kusifiwa ni hisani isiyodaiwa. Huo umeme ni huduma inayolipiwa sio huduma ya bure. Mbona hatuoni mkisifia walipa Luku?Vichwa ndama au pingapinga ni wengi mno!, almost 60%, wana macho lakini wametia upofu, chadema inaharibu sana vijana, sijui inawalisha aina gani ya upumbavu, hawaoni jema, hata wameshindwa kutoa pongezi kwa serekali kwa mradi mzuri wa rufiji kuanza kazi /
Tuipongeze serikali kwa lipi? Wewe ukitimiza majukumu ya familia yako utahitaji pongezi? Hivi ni vitu vidogo sana kwa serikali na ilitakiwa ifanye zaidi ya hapa kwa sababu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo pia ilitakiwa iwe imefanya mara baada ya kupata uhuru ndani ya miaka 10 ya kuwa huru. Achana na biashara kupongeza kwa mtu anayetimiza wajibu wake. Huko ni kutengeneza mazingira ya UCHAWA. Bata wahed!Miaka 10 ijayo serikali itakuwa imekuja na chanzo kipya cha umeme tuipongeze serikali japo kwa kujitahidi kujenga hili bwawa.
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.
cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
Kwani unajua sisi plan yetu ni nini..?wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro electric dam which will be the biggest in the world. And guess who funds the project? EU, World Bank &Co. wale wale waliosema kwetu kuduchu tunachojenga cha 2000 MW kinaharibu mazingira ndiyo wanafund the biggest hydro electric dam in the world in neighboring Congo.
cha ajabu wanaosema Nyerere Dam inaharibu mazingira wana diesel generator at home na ofisini, full air conditioning kila mahali, lkn wewe na mimi kuwa na umeme wa uhakika kutaharibu mazingira, pure sadism …
View attachment 2918708
Duh mental caseTuipongeze serikali kwa lipi? Wewe ukitimiza majukumu ya familia yako utahitaji pongezi? Hivi ni vitu vidogo sana kwa serikali na ilitakiwa ifanye zaidi ya hapa kwa sababu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo pia ilitakiwa iwe imefanya mara baada ya kupata uhuru ndani ya miaka 10 ya kuwa huru. Achana na biashara kupongeza kwa mtu anayetimiza wajibu wake. Huko ni kutengeneza mazingira ya UCHAWA. Bata wahed!