Congo DRC imenufaikaje kuwa mwanachama wa EAC?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Ilikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe hata kabla haijawa mwanachama wa EAC! Na ilipopata uachama, kadhia iliyokuwepo ya ukosefu wa amani iliendelea kuwepo, huku Rwanda ikituhumiwa kuhusika pakubwa kuyumbisha amani kwa ndugu yake, Congo DRC!

Ninajaribu kuwaza!
1. Congo ilitarajia kupata nini baada ya kujiunga na familia ya EAC?

2. Kama jumuia husika imeshindwa kumkemea mmoja wa wanachama wake anayenyooshewa kidole kuhusika kuyumbisha amani Congo DRC, itaweza kuwatetea wanachama wake mbele ya mataifa tajiri?
 
Congo haibebeki ilipelekewa vikosi vya East African Community wakawafukuza kwa madai kwamba wanafanana na Watutsi.ndipo wakaomba SADC nao wakala kibano.
 
Congo haibebeki ilipelekewa vikosi vya East African Community wakawafukuza kwa madai kwamba wanafanana na Watutsi.ndipo wakaomba SADC nao wakala kibano.
Walifukuzwa au walimkimbia Kagame?
 

Wakongo Man ni wapumbavu na wajinga kuzidi Nyani wa porini .

Nchi ina watu mil.100+ halafu haina Jeshi zaidi ya Machawa wa kuwalinda watawala wapumbavu na mafisadi .

Nchi ina utajiri mkubwa duniani halafu inafukuza Watu wenye akili kama watusi Badala ya kuwatumia kwenye Jeshi na teknolojia na ujuzi mbalimbali wao wanawaua na kuwafukuza ili wabakie malofa watupu wawatwale kin'gombengo'mbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…