kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 790
Huyu jamaa ni kiboko na ni mbunifu asiye na mpinzani na kanivutia mpaka siku hz nahudhulia kanisani kila juma pili kutokana na ubunifu wake wa kupiga kinanda kwa kutumia tune za za makabila na hata nyimbo mbalimbali za kidunia na kuleta ladha tofauti katika uimbaji wa misa takatifu, mfano leo;
Tumeingia kanisani na nyimbo yenye tune ya Makhilikhili. Hatujakaa vizuri kagonga nyimbo tune ya nyimbo za kigogo
Baadae kidogo tune ya fullstop ya bibie malkia wa mipasho Ile tunatoka ndo kaua kabisa na kitu cha #CHEKECHA CHEKETUA #KING kiba ndo akanikosha zaidi.
Huyu jamaa ni hatareeeee.