tanzania65
Member
- Mar 20, 2007
- 28
- 9
Sugu kapata kura 46,411 na ndio mshindi..hongera sana
Sina Data zaidi ya hizo kwa sasa...
No data no right to speak!
Du huyu Mbilinyi ni kama amem-double Mpesya...kazi kweli kweli mwaka huu!.Jimbo la Mbeya Mjini - UBUNGE: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) 46,411 Benson Mpesya (CCM) 24,327. Nguvu ya Umma Imeongea.
Haya yametoka kutangazwa na Tume Mby