sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Sep 17, 2012 #141 Vin Diesel said: He he heee...ina maana wamefanikiwa kukulaghai?:spy::spy: Click to expand... Nimejilaghai mwenyewe lol
Vin Diesel said: He he heee...ina maana wamefanikiwa kukulaghai?:spy::spy: Click to expand... Nimejilaghai mwenyewe lol
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Sep 17, 2012 #142 Baba V said: we mwana we Mwali Hujalala hadi saivi kunani? Lala ukue Click to expand... Baba V hebu rudisha ile avatar yako ya zamani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: we mwana we Mwali Hujalala hadi saivi kunani? Lala ukue Click to expand... Baba V hebu rudisha ile avatar yako ya zamani
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Sep 17, 2012 #143 halafu mie na uzee wangu wa JF sijawahia kupata ka - ba n hata kamoja!! leo namuomba huyu mod aliyetajwa hapa anipe angalau ka dakika mbili tuu halafu nione huwa inakuwaje, platozoom unaweza nisaidia? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
halafu mie na uzee wangu wa JF sijawahia kupata ka - ba n hata kamoja!! leo namuomba huyu mod aliyetajwa hapa anipe angalau ka dakika mbili tuu halafu nione huwa inakuwaje, platozoom unaweza nisaidia?
lutayega JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,297 Reaction score 572 Sep 17, 2012 #144 FM stereo said: huyo mod ni nani?nimeshindwa kung'amua Click to expand... fang anakuja atatueleza ni nani, ila siajasema kuwa ni fang
FM stereo said: huyo mod ni nani?nimeshindwa kung'amua Click to expand... fang anakuja atatueleza ni nani, ila siajasema kuwa ni fang