Confidants friendship

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
913
Reaction score
547
Ukitaka kuwahi tembea peke yako, ukitaka kufika mbali nendeni wengi.
Maisha hukupa aina ya marafiki aina tatu iliufike pale unapotaka kufika but asilimia kubwa hatujui au hatujaamua kuchunguza ni aina gani ya marafiki tunao.
Confidants: hawa ni aina ya marafiki ambao wapo kwa ajili yako, watakupenda unconditional either you're down or up, au umefanikiwa au umekuwabroke. Watakupenda kwa jinsi ulivyo hawatakuacha kwa chochote utakachofanya bali watafanya lolote ili wawe na wewe, wewe ni Daudi subiri upate Jonathan wako.
Constituents: hawa hawapo kwa ajili ya wewe ni nani bali wapo kwa vile ulivyonavyo, wakikutana na mtu mwingine ambaye anatimiza agenda zao wanakuacha.
Comrades: hawa wapo kwa ajili yako kwa kile ambacho umetofautiana utawaona wanapigana na wewe hata kujenga na wewe but kisasi chao kitakapoisha au tofauti zao zitakapoisha nao wataondoka kwa kuwa kile wanachopambana nacho wamekishinda ama wamepata suluhu so usije tegemea watakuwa kule kwa ajili yako.
Ili ufanikiwe unahitaji confidants wakwako hakuna aliyefanikiwa bila kuwepo watu wa kumpa support either direct or indirect ways.
 
Sawa.. naona wakwangu mimi katika hao wote hawapo.. na maisha yanaendelea smoothly..
 
Sawa.. naona wakwangu mimi katika hao wote hawapo.. na maisha yanaendelea smoothly..
Unajidanganya mwenyewe wala hunidanganyi mm kama Yesu alikuwa na wa kwake wewe nani utrmbee peke yako!? Vingine tutumie common sense kujibu
 
Inaelekea yesu pia alikuwa mshabiki wa liverpool
 
Mambo ya Bishop TD Jakes hayo....

Ungemu acknowledge chini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…