Confession - Nilivyotembea na mke wa mtu

Umekuja JF kutafuta kiki..wewe kijana unaona sifa kutembea na wake za watu...usirudie kuleta utumbo wako hapa...
Hii ni stori ya miaka kumi iliyopita dada /kaka
 
Mkuu Ukiona uzi kuhusu ufugaji wa bata maji, niite!
 
Utakapoliwa kiboga na hao wenye wake zao pia uje usimulie hapa....punguani wewe.......

Watu kama nyie ni wa kuwatoa mabusha mawili ya shingoni ili mshike adabu.....
 
Mbona hujasema kama alikuwa Mtamu!

Nadhani hadi Magufuli apige marufuku kufanya mapenzi na wake za watu ndipo mtaacha...

Kuzini na mke wa Mtu mnataka Dicteta ndio muache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…