DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,259
- 4,690
Salaamu kwenu waungwana,
Mwaka 2005 /06 nilikuwa naishi Buguruni maisha ya kisela na kwa kiwango fulani, kwa kweli yale maisha yalikuwa magumu kidogo japo nilijipa matumaini kwamba lazima maisha yaanzie pahali.
Kwanza nilikuwa naishi kwenye nyumba ambayo ilikuwa haijakamilika ujenzi wake so hakukua milango wala madirisha zaidi ya zile nondo na nyavu. Bahati nzuri ile nyumba ilikuwa na fensi ya ukuta na geti.
Kwa kuwa nyumba ilikuwa haijakamilika, nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja ambacho nilikuwa nakilipia 8,000/= kwa mwezi na haikuwa na umeme bado. Jirani na ile nyumba kwa nyuma kulikuwa na nyumba ya wapangaji kati yao kulikuwa na mmoja dereva wa DalaDala, huyu kaka alikuwa na mke mzuri kwa kiwango cha kuridhisha.
Nje kidogo ya ile nyumba pia kulikuwa na kaduka na bomba lililokuwa linasimamiwa na mzee mmoja mpemba na maisha ya uswahilini kuna muingiliano dukani na bombani. Huyu dada akaanza kunisemesha na baadae tukajenga mazoea ya kusalimiana na kuongea.
Siku moja niliporudi nyumbani geti sikutia kitasa baada ya kuweka mizigo yangu ndani nilielekea chooni niliporudi nilikuta chakula mezani na nje dirishani akaniambia kwa sauti nyororo 'Tolu, pole na kazi, chakula nimekuletea mimi ' nilimshukuru japo sikukila kile chakula, niliogopa kulishwa limbwata.
Hiyo tabia iliendelea ila siku alipoamua kunikamata kwa kweli alinitia kibindoni. Kwanza niliwahi kurudi ilikuwa mida ya saa nane mchana akaniona nimeingia, kama kawaida nikaenda chooni baada ya kutua mizigo. Aisee ile natoka chooni narudi ndani k.....***** nakuta mzigo kitandani uchi wa mnyama na shanga kama milioni moja kiuononi!
Ukweli ni kwamba nilimpa haki yake na moyoni alifarijika japo nilijutia kitendo kile ukizingatia kwamba mumewe tuluzoeana na alikuwa jamaa peace kishenzi na kutokana na hiyo sikumpa tena yule dada huduma tena mpaka kesho japo alitumia nguvu nyingi tena kudai huduma.
Mwanamke akiamua kumnasa mwanaume hakuna kuchomoa.
This is my confession.
Nitatoa nyingine nilivyomla mwenye nyumba wangu nilipokuwa naishi Sinza.