msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
mbona umelalamika sana????? Wengine ulemavu ndio haswaaaaaa tiba yao!!!!Kondomu ina standard size, kama ilivyo cds, line za cm, magodoro ambayo standard yake ni ft 6 na vitu kama hivyo. Kucomplaine eti ndomu ni ndogo huu ni ujuha. Kwanza hata hao wenye sex organ kubwa ule ni ulemavu! Kiungo kinatakiwa kiwe cha kawaida. Sio kikubwa sio kidogo. Na hii ni kwa viungo vyote, mguu, pua, sikio, kichwa nk. Hapa angecomplaine ubora ningemwona mjanja.
Kondomu ina standard size, kama ilivyo cds, line za cm, magodoro ambayo standard yake ni ft 6 na vitu kama hivyo. Kucomplaine eti ndomu ni ndogo huu ni ujuha. Kwanza hata hao wenye sex organ kubwa ule ni ulemavu! Kiungo kinatakiwa kiwe cha kawaida. Sio kikubwa sio kidogo. Na hii ni kwa viungo vyote, mguu, pua, sikio, kichwa nk. Hapa angecomplaine ubora ningemwona mjanja.
Someone call Anne Kansiime please!Does this imply Ugandan women have tiny thing'iiis? (Just a question)