CONDOMS fupi zakataliwa na TBS, zilitoka Korea!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Size matters!!

Source: JamboNetwork.com

SteveD.
 
Hapa nilipo nakuna kichwa tu, hizo kondomu zingetengenezwa Bongo au Afrika sijui kama zingewatosha watu wa Korea.... au ndiyo hivyo tena, zinge wapwaya?!!

Alisema kwa sasa viwango vinavyokubalika kimataifa ni urefu usiopungua nchi 160 na kuendelea na upana wa nchi 53 wakati unene unatakiwa kuwa sentimita 0.07.

Nani kati yenu aliyajua hayo?! lol
 
Alipotosha kitu gani hapo...

kama alivyoeleza steve D

Hapa nilipo nakuna kichwa tu, hizo kondomu zingetengenezwa Bongo au Afrika sijui kama zingewatosha watu wa Korea.... au ndiyo hivyo tena, zinge wapwaya?!!

Angesema ni fupi ingetosha!
AM sure hiyo standard ya kimataifa anayoizungumzia, kama zinawatosha wabantu basi ujue hawa jamaa wa korea zitakuwa buga (substandard), and the viceversa.
 
Angesema ni fupi ingetosha!
AM sure hiyo standard ya kimataifa anayoizungumzia, kama zinawatosha wabantu basi ujue hawa jamaa wa korea zitakuwa buga (substandard), and the viceversa.

Duuh, eti zitakuwa 'buga', ... ha ha ha ha.. mbona wewe kasana mtundu wa maneno sana.. lol

btw, buga ni neno linalotokana na neno baggy au?!
 
Haha ni kweli kabisa, urefu ni sehemu ya kiwango pia. Nadhani huyo mwanadada mnayesema amepotosha, atakuwa na first hand experience ya hii kitu. For sure hata sisi tungepeleka za kwetu kwao zingekuwa "buga" kama alivyosema kasana!
 
Duuh, eti zitakuwa 'buga', ... ha ha ha ha.. mbona wewe kasana mtundu wa maneno sana.. lol

btw, buga ni neno linalotokana na neno baggy au?!

Buga na bagi ni tofauti, cheki buga inavyookuwa, angalia zaidi upana wake hapo chini..
 
hii kali...huyo mtoa maelezo yaani huyo mama...inamaana anauzoefu sana juu ya mipini ya wabongo ndoo maana kaona hizo ni fupi..
 
Hivi ni macho yangu ama nimesoma vibaya? Kuna mpini wenye urefu wa nchi 160? Yaani hapa tunaongela urefu wa zaidi ya futi 12, ni condom gani yenye urefu huo? Halafu upana nchi 53 (zaidi ya futi 4)! Huyu dada nadhani kachanganya vipimo, maana hata kama ni sentimita bado ni size ya ajabu sana!
 
Labda alikuwa na maana ya millimeters...
 
....Nyani Ngabu, any comment here in relation to a 'man of miniature proportions'?!...
 
Mtoto wa Mkulima,

Lazima nikupe tano ya nguvu.Yaani kuna chati za kuonyesha ukubwa wa sebenee...duhhh!!!!...Waafrika number moja sio? JF kiboko yao!!! Naona kuna wataalam wa risechi!!!...LOL!
 
Keil,

Sema mjomba.Naona umo kwenye maswala ya mpini!!!!...LOL!
Mimi pia nilikua naona hio kasoro hapao na sijui vipi.Hebu SteveD
tuambia inakuaje?

P.S. Kondom yenye urefu wa futi 12 lazima ni zile air ballons!
 
Hapa nilipo nakuna kichwa tu, hizo kondomu zingetengenezwa Bongo au Afrika sijui kama zingewatosha watu wa Korea.... au ndiyo hivyo tena, zinge wapwaya?!!
teh teh teh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…