Condom inasaidia wakuu

Si ndiyo maana upo kwenye dozi avatar yako imejibu kila kitu ila ukome kutufundisha na sisi ujinga

Yaani na Wewe kumbe na Ujanja wote huo unatumia Condoms unapowabandua? Mimi mwenzako natiririka na naserereka nao tu Kiuhalisia kama ambavyo Maulana alituumba kula katika Bustani yetu ya Eden.
 
we fara ukitaja gitaa la dally kimoko nakumbuka uzi wako mmoja uliomzungumzia msanii mmojawapo wa orijino komedi

hahahaaa
 
Nachukia sana watu wanaopotosha watu humu ndani ila after all kila mtu atalipwa kila anachostahili hii dunia. Kuna mtu anaitwa deception nae anapinga kinoma kuhusu ngoma na anakuja na hoja nzito sasa wengine wamemwelewa huyo ndugu mwisho wa siku.....
Malizia....
 
Mkuu inawezekana ulikuwa unapiga game za mchangani
 
Khaa ! Kwa hiyo ulikuwa unawashauri wenzako ujinga Sasa unawazika unafurahi,aiisee we ni zaidi ya mchawi
 
Yaani na Wewe kumbe na Ujanja wote huo unatumia Condoms unapowabandua? Mimi mwenzako natiririka na naserereka nao tu Kiuhalisia kama ambavyo Maulana alituumba kula katika Bustani yetu ya Eden.
Aliyekuambia nawabandua nani labda nabanduliwa
 
Nimecheka sana the way ulivyounda sentensi zako.ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…