pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Hahaha. π Nilidhani sakramenti huwa ni kipisi tu cha kuonja jombaa, mbona hapa ni kama kwa shuruti? Hata sisi watu wa dini tunapenda reggae buana!Wanapata sacrament na Eucharist takatifu. [emoji16]
HahahaJiwe atakosekana kweli hapo...?
Tamasha za reggae za Sarakasi Trust, Kenya.Damn.wapi hiyo mkuu?i wish i was there.
Dah.safi sana.Tamasha za reggae za Sarakasi Trust, Kenya.
Hawa watu walii enjoy sana mpaka natokwa udendaπππAisee, sijaelewa, hapa wanachoma nyama ama kunaendaje? [emoji23]
Hahaha! π Unamaanisha walienjoy kusikiza live reggae? πHawa watu walii enjoy sana mpaka natokwa udenda
Mkuu huo moshi wa jiko la nyamaHahaha! π Unamaanisha walienjoy kusikiza live reggae? π
Hahaa nimekuelewa mkuu. Walienjoy sanaaaa zaidi ya Jamaica.Mkuu huo moshi wa jiko la nyama