Computers za jumla zinauzwa

johnj

Faida inayopatikana kwenye mauzo ya hizi computer si kubwa. Ukisafirisha computer 5 tu hiyo faida ndogo haitakuwepo tena. Unaweza kutafuta wenzio wawili, kila mmoja akichukua computer 8, mipango ya kufikishiwa mzigo wenu itafanywa.

Ikitokea mtu kaagiza computer 30 Morogoro, hapo sio ngumu nawe kuletewa computer zako 5.


Nimeeleza namna ambavyo unaweza kupata website yao. Huko kuna kila kitu ikiwemo email n.k. Anayetafuta hupewa. :)
Nashukuru wamiliki wa hii forum kunivumilia kwa kuwekwa tangazo langu hapa.
 
Habari Mr John!

Umeuliza swali zuri kuhusu spear za pc's.

Huwa ninaingiza computers kwa wingi na huwa naweka spear baadhi ili mtu atakapo kununua aweze kuwa na uhakika wa kuweza kupata hizo spear za aina zote ninazo uza kwa wakati wowote ahitajipo.

Vile vile huwa tunatoa misaada ya computers aina nyingine kwa mashule ya sekondari yaliyopo mkoa wa kilimanjaro. Pia hutoa huduma ya service contract kwa hizo shule kwa mwaka mzima.

Naomba utembelee tovuti yangu
Viafrica - Home Page

Unaweza kupata habari zote ambazo sisi tunafanya kutoa huduma na kuimarisha elimu.

Thomas A. Munuo
Sales/ Operation Manager
VIAfrica




angalizo

Kununua computer kwa bei hizi na kwa watengenezaji hao na kwa capacity iliyosemwa inategemea unatumia computer hizi kufanyia nini na kwa muda gani. Ushauri wangu kwa wateja mtafute an independent technical guy ili azi-assess kabla hamjanunua. Ningekuwa mimi ningeprefer clone refurbished computers kuliko hizo brands wanazouza kwa maana nyingi ya hizo zikipata matatizo utengenezaji wake au parts replacement zinaweza kusumbua wakati mwingine. sina lengo la kuwaharibia biashara kama umeelewa my first sentence.

Mimi pia naweza kuwatafutia soko ila mniambie model ya hizo computers zenu ili nijiridhishe maana nafahamu some models ambazo mhh..
 
Kwa kweli kununua refublished computer hasa hizi za ram ndogo, Processor capacity ndogo na HDD ndogo ni risk kubwa. Hazifai hata kuchezea game.
Katika uzoefu wangu na computer, ni bora mtu ujikusanye na kununua mpya iliyo na guarantee na after sales service kuliko hizi refublished.
Kwa sasa computer hazina bei kubwa sana ya kutisha. 500,000/= unapata mpya nzuri yenye guarantee.
Nunueni vipya jamani. Isiwe mitumba kwa kila kitu.
Watanzania na mitumba mwisho siku moja tutaletewa hata mitumba ya chakula kilichopikwa kuliwa na kubakizwa. Hivi kwa kiswahili inaitwa nini Vile?
Maana kwa wenzetu hizi computer wanazotuletea huku huwa wakishaona imetumika sana anaitoa na kuitupa nje ili wazoa taka waje wachukue na wajanja wanaziokota na kuzileta huku.
Habari ndiyo hiyo.
:)
 
Mkuu naona hujafanya biashara au hujui biashara....
Ukiwa unashida na bidhaa au mzigo hutakiwi kubeep.....kwa maana unanunua bidhaa ile kwa manufaa yako........labda kama huna haja ya kununua unataka kuuliza ndo ubeep lakini huwezi pigiwa mkuuu.....
Chukulia mfano unaunguliwa na nyumba au umevamiwa na majambazi utabeep POLICE au FIRE waje kukusaidia???????

Nilikuwa sijaiona hii...

Kwa ulichoandika hapo, unafikiri nani hajui misingi ya biashara kati ya mimi na wewe? Ninaweza kuwa sijawahi kufanya biashara, lakini ninajua kanuni moja kubwa ya biashara - Mteja ni mfalme.

Kwa kutumia kanuni hii, je unafikiri ni nani ana choice ya kubeep na nani hana hiyo choice.....katika mazingira ya hii biashara iliyowekwa hapa? Jibu unalo!

Chukulia mfano unaunguliwa na nyumba au umevamiwa na majambazi utabeep POLICE au FIRE waje kukusaidia???????

Negative.

Mfano wako umetoka kwenye track. Ningekushauri utafute mfano unao rhyme na misingi ya biashara.
 
Mbona kuna baadhi ya wadau hawapendi mtu aendelee haijatulia jamani tumpe mwenzetu kampani ya kuweza kumsaidia na kumshauri sio mara hujui biashara mara unatumia laptop zilizotupwa mara unatumia vipolo sio vizuri jamani tusaidiane kwa kweli sio kumkandia mtu maana kama wewe umefanikiwa mwenzio anatafuta afanikiwe maana anafamiliana inamtegemea sasa kwa nini unamkatisha tamaa mpe moyo mtu aweze kufanikiwa kama wewe sio mnaleta vigezo jamani maisha hayaendi hivyo kabisa
 
Biashara haigombi, mwenye haja ya computer na hizi zinamfaa anunue tu sijaona kosa kwa huyu jamaa kuleta biashara yake hapa.
 
Mbona kuna baadhi ya wadau hawapendi mtu aendelee haijatulia jamani tumpe mwenzetu kampani ya kuweza kumsaidia na kumshauri sio mara hujui biashara mara unatumia laptop zilizotupwa mara unatumia vipolo sio vizuri jamani tusaidiane kwa kweli sio kumkandia mtu maana kama wewe umefanikiwa mwenzio anatafuta afanikiwe maana anafamiliana inamtegemea sasa kwa nini unamkatisha tamaa mpe moyo mtu aweze kufanikiwa kama wewe sio mnaleta vigezo jamani maisha hayaendi hivyo kabisa

gm Re: Computers za jumla zinauzwa
Biashara haigombi, mwenye haja ya computer na hizi zinamfaa anunue tu sijaona kosa kwa huyu jamaa kuleta biashara yake hapa.

Nakubaliana nawe lakini pia tuna haki ya kutoa maoni yetu.
Nasi tumetumia haki hiyo kutoa ushauri tuliodhani ni bora.
 
Ni computer used/refubished.
Computer maker: HP, Dell, na Compaq.

Bei:
P3 ... >700Mhz ... 128MB ... 10Gb ...167,000
P3 ... >900Mhz ... 256MB ... 10-20Gb ... 197,000
P4 ... >1.2Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 212,000
P4 ... >1.5Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 228,000
P4 ... >1.8Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 258,000
P4 ... >2.0Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 288,000
P4 ... >2.4Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 334,000

Monitor size: 17"

Ukinipigia nitakupa taarifa nyingine, mfano:
- Namba ya regional manager wa kampuni husika inayouza hizi computer
- Idadi ya shule au taasisi ambazo tayari zimenunua kutoka hii kampuni
- Jina na website ya hii kampuni
- Terms na warranty issues
- N.K


Ni list ya computers yenye kurasa saba (7), unachagua mwenyewe.
Watakaochelewa itabidi wasubiri mzigo mwingine miezi kadhaa baadae.
Atakayewahi nitamkutanisha na regional manager, maana yupo jijini kwa siku chache.


Nitumie PM
Au nipigie kwa namba:0716-352104
Huenda nikakupigia kama una namba ya TIGO

Sorry to have bothered you if you feel this offer is not HOT
 
Back
Top Bottom