Computer

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Wadau!
Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa ya aina gan na ukubwa gan? ASANTEN.
 
Kama ni kwa ajili ya kusomea, you can just buy any brand with 2ghz processor, 2gb memory, 80gb hard drive, 17" monitor


Wadau!
Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa ya aina gan na ukubwa gan? ASANTEN.
 
Wadau!
Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa ya aina gan na ukubwa gan? ASANTEN.

Ungesema budget Mkkuu! Kama unataka ya kimaskini used nenda k/koo tembea kwa wasomali tafuta dell au hp duo core, 2Gb ram, 80gb hdd, CPU utapata kwa 150K pamoja na mouse na keyboard, screen ya 19" utapata kwa 130K, jumla kama lakh280.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…