Computer yangu (PC) hai-display msaada wakuu

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,222
desktop yangu hii tatizo limeanza baada ya ku-replace RAM ndio inatoa 2 long beep sound bila ku-display sijui nini kimekufa ila machine inawaka.
 
Rudishia Ram za zamani....inawezekana ulizoweka eitha mbovu, siyo sahihi au hujaset vizuri kwenye slots zake jaribu hivyo....then nipe jibu
 
nimefanya hivyo mkuu tatizo lipo palepale.
 
jaribu kubadilibadili ram from one slot to another ucheki
 
tatizo ni hizo ram aziko compatible na hiyo motherbod cha kufanya angalia speed ya ram huwa wanaandika uwenda ukawa umeweka ram mbili zikiwa na speed tofauti jaribu hv ikigoma ni pm tuonane nijurekebishie
 
ni kweli niliweka RAM 2 (1GB na 256MB) kabla ya tatizo, nikataka kutoa 256MB ili niweke 512MB nikakosea nikawa nimetoa 1GB CPU ikahesabu total memory = 760MB nilivyoitoa 256MB na kuirudisha ile 1GB ndio majanga yalipoanza cha ajabu hakuna RAM inayofanya kazi na zote ni nzima.
 
Fanya hivi:-
1. chomoa RAM zote
2..Anza kuchomeka hiyo 1gb kwenye slot then jaribu kuwasha na kama ikikataa chomoa ujaribu kwenye slot nyingine.
3.iwapo itagoma ichomoe na urudie hilo zoezi kwa Ram ya 512 kama ulivyo fanya kwa ya awali iki kubali ndiyo utaongeza hiyo 1GB.
4.Iwapo 512 itagoma basi utaanza na 256 iki kubali haina jins utaongeza na ile ya 1gb
 
Huenda ikawa screen imekufa!.hebu check hilo pia!
Adios!
 
Mkuu ebu fanya hivi, Reset Bios kwa motherboard yako au chomoa bios battery kwa dk 20 kisha rudishia kama itaendelea kusumbua tafuta VGA card.

Mie ninazo kadhaa used
 
iyo bios una-reset vip? je bios betri ndio CMOS betri? nahitaji VGA nahisi tatizo ndo lipo hapo nitakupata vip mkuu?
 
hiyo milio iliyosikika inakuwa mara 2 huwa inawaka na hizo taa za keybord mara 1 na inaashiria tatizo la ram hivyo fuata maelezo ya huyo jama hapo juu ikishindikana chuka brash safisha sehemu za kuwekea hizo ram na itakuwa vyema zaidi ukipata benzine kwa mafundi simu usafishie
 
Poa mkuu nitafanya hivyo nione
 
Back
Top Bottom