Computer yangu ikiingia SLEEP au HIBERNATE haikubali kuresume tena

Computer yangu ikiingia SLEEP au HIBERNATE haikubali kuresume tena

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Posts
320
Reaction score
100
Waungwana hivi karibuni nilichomeka adapter ya laptop yangu kwenye socket ambayo ilikua na matatizo. Sikujua ila nilipokua natumia nilihisi kama napigwa short, nilichomeka cable ya simu na nilipoigusa nilipigwa shoti kubwa kabisa. Nilipochomo adapter kwenye pc nikaigusa nilipigwa shoti, nikajaribu kuweka test kwenye metal (knob ya adpte inayochomekwa kwenye pc) ikawaka, nilipotest kwenye earthing ya switch nikakuta nayo inawaka.. Tatzio nilionalo sasa kwenye pc yangu iki hibernate au sleep mode haiwezi ku resume tena ingawaje inaonesha ipo on na hata ukifungua cd rom inafunguka lakini haidisplei mpaka kuzima kwa kuforce na nikiwasha inaniletea window error recovery ndio iendelee,,Nimejaribu kuset power options lakini sioni mafanukio yoyote...
wataalam nisaidieni, je hili tatizo limesababishwa na power au ni nini?
na nitalitatuaje kwani nikijisahau tu wakati nafanya kazi zangu ikihibernate nimepoteza kila kitu..
ahsanteni sana
 
Kwani umeitumia kwa muda gani? Inaweza kuwa imechoka sana, kwa sababu life span ya electronics ya fupi. Nunua nyingine tu.
 
Kwani umeitumia kwa muda gani? Inaweza kuwa imechoka sana, kwa sababu life span ya electronics ya fupi. Nunua nyingine tu.

Nimeinunua mwaka jana..Ila tatizo limeanza juzi kushinda jana tu na ni baada ya kuchomeka kwenye socket yenye shoti
 
Back
Top Bottom