asante!..ila nimekuwekea link yenye maelezo ya kutosha juu ya hiyo B.S.O.D..na wengi imewasaidia..kama haikufai poa! Kila la kheri..sasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wenginesasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
utoto tu akikua ataacha..unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wengine
utoto tu akikua ataacha..
Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo
***Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity check/ Memory parity error
***The system has halted***
Mwenye kujua tatizo ni nini naomba msaada tafadhali nimekwama mwenzenu.
unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wengine
Nashukuru kwa mchango wako hata mimi nlikuwa nawaza ku-replace RAM kwani iliyopo nimejaribu kuiweka vizuri kwenye slot zake zote 4 lakini bado blue screen haitoki.
hata watoto wana akili ya kutosha kujua anapopewa msaada. miaka yangu yote sijaona ukosaji wa nidhamu kiasi hicho.
much respect kwako kwa ustaarabu uliotumia:yo:
kwanza kwa kuanza embu elezea vizuri ni vipi hilo tatizo limeanza..yaan kuna kitu ulibadili, kuinstall au unahisi nini kimesababisha..?? au ulizima tu then baadae kuwasha ndo ikaanza hivyo..au tangu umeichukua/nunua ipo hivyo? kwa kutupa historia yake labda inaweza kusaidia maana for surely kila blue screen unayopata ina sababu yake na huwa hazifanani kwa kila pc!! kitu kidogo tu hata mtikisiko wa kijinga tu sometimes unaweza cause blue screen sababu ya kucheza kwa baadhi ya onboard devices..NIlishakubali makosa yangu kwa kutoelewa kama ile ilikuwa link, sasa sijui nini naomba msaada tena kabla ya ile blue screen
kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?
Hayo ndiyo maneno mkuunishamsamehe abulzahra. nimeona nitakuwa sawa na yeye nikiweka 'beef'. ave even given my advice, nasubiri tu niskie kama amefaidika