Jambo lolote lisilo la ki internet kama kuwasha pc, kufungua programs etc linakuwa slow sababu machine yako ina HDD badala ya SSD. Una cpu nzuri na ram nzuri pia kinachokukwamisha ni HdD.Wadau naombeni msaada.
Nina laptop yangu yenye specification zifuatazo:
1. RAM 8GB
2. HDD 500
3. processor 2.3 Ghz
Hp core i3 Intel.
Tatizo iko slow kwenye internet na kufunguka. Naombeni msaada jinsi ya kuongeza speed ya hii laptop. Plz. View attachment 1591993
Naweza kubadilisha from HDD to SSD?Jambo lolote lisilo la ki internet kama kuwasha pc, kufungua programs etc linakuwa slow sababu machine yako ina HDD badala ya SSD. Una cpu nzuri na ram nzuri pia kinachokukwamisha ni HdD.
Kuhusu internet una uhakika sio mtandao wako upo slow?
Jambo jengine pc ikiwa slow right click Taskbar kisha chagua task manager itakuonesha ni kitu gani kimezidiwa kama ni cpu ama ram ama hdd.
Hiki ni chanzo kikubwaKuna rafiki alikuwa na hiyo shida ya pc kuload..iwe kuiwasha,kutype n.k baadae shida ikajulikana ni VIRUS
kiukweli wengi wana uwelewa mdogo kuhusu SSD dhidi ya HDD, nna laptop na desktop ,Reinstall windows. Sema ingefaa ungekua na SSD kuliko HDD. Ni investment moja ambayo sijawah jutia hadi leo na siwez tumia laptop isiyo na ssd sikuhz
Ssd zipo za aina nyingi kutegemeana na laptop.Naweza kubadilisha from HDD to SSD?
Binafsi sina uelewa wowote kuhusu ssd na nimeona wengi wanaopt laptops zenye ssd. Hii yangu nataka niibadilishe iwe inatumia ssd.kiukweli wengi wana uwelewa mdogo kuhusu SSD dhidi ya HDD, nna laptop na desktop ,
nilinyofoa hdd zote nikazigawa nikaweka ssd, ni game changer kwenye swala la speed
Itabidi nireinstall window then niweke hiyo SSD.Reinstall windows. Sema ingefaa ungekua na SSD kuliko HDD. Ni investment moja ambayo sijawah jutia hadi leo na siwez tumia laptop isiyo na ssd sikuhz
hua naorder Aliexpressaliniambia hamna ssd yenye ukubwa zaidi ya 256
based on speed ? SSD ya 500GB ina around 300MB/s ( write speed ), HDD ya 500GB (7200RPM) ni around 100MB/s (write speed)HDD ya 500GB ni sawa na SSD ngapi?
Mm nilinunua 180GB SSD hukuhuku bongo. Kuna duka flani kkoo linauza refurbished ssd za intel na samsung. Nililipa 80,000 na nilivouza laptop sikuuza na ssd (nilirudisha hdd) nikaiuza ssd 90,000. Unanunua ssd ila unakua na external. Na ukiuza laptop hauuzi na ssd. So inakua ni mali yako hata ukipta laptop mpyaItabidi nireinstall window then niweke hiyo SSD.
Natumiaga windows defender kama antivirus kwa miaka 5 sasa. Inabidi nibadilishe.
Name: Hp ProBook 430 G4Ssd zipo za aina nyingi kutegemeana na laptop.
1. 100% unaweza ukatoa HDD yako ya Sata na kuweka Ssd ya Sata.
2. Ila pia unaweza ukaweka ssd pamoja na HDD, windows ukainstall kwenye ssd na mafile mengine ukaweka kwenye HDD. Njia hii nayo inawezekana kwa aina kama mbili
-kwa kutoa mlango wa CD na kureplace na Ssd
-kwa kuangalia laptop yako kama ina connector nyengine ya Ssd kama Vile m.2, msata, Nvme(pcie) etc.
Cha muhimu weka full model ya laptop yako naweza kukuangalizia.
Good. Nahitaji ssd yenye ukubwa wa kuanzia 500GB to 1TB. Hii HDD inanichosha. Itakua external drive.Mm nilinunua 180GB SSD hukuhuku bongo. Kuna duka flani kkoo linauza refurbished ssd za intel na samsung. Nililipa 80,000 na nilivouza laptop sikuuza na ssd (nilirudisha hdd) nikaiuza ssd 90,000. Unanunua ssd ila unakua na external. Na ukiuza laptop hauuzi na ssd. So inakua ni mali yako hata ukipta laptop mpya
500GB andaa kma laki 2 na kitu hviGood. Nahitaji ssd yenye ukubwa wa kuanzia 500GB to 1TB. Hii HDD inanichosha. Itakua external drive.
Angalia kwenye pc chini zipo sehemu mbili za kufungua? Zimefungwa na screw moja moja tu. Ya chini hdd na ya juu itakuwa na sehemu ya m.2 ssd pamoja na ram na wifi.Name: Hp ProBook 430 G4
Processor: Intel (R) core (TM) i3 7th generation CPU @2.40
RAM 8GB,
System type 64bit x 64 based processor.
HDD 500
System BIOS: P85 Ver. 01.23
Hapo ndipo pakuwekea ssd @chief_mkwawaAngalia kwenye pc chini zipo sehemu mbili za kufungua? Zimefungwa na screw moja moja tu. Ya chini hdd na ya juu itakuwa na sehemu ya m.2 ssd pamoja na ram na wifi.
![]()
Kama ipo kama hivi na sehemu ya ssd haina kitu unaweza nunua Ssd na ukabakisha hdd maisha yakaendelea.
Pia ssd ya 128gb ama 256GB inatosha kabisa, unatakiwa operating system na programs unazotumia mara kwa mara kama browser ndio zikae kwenye ssd,
Vitu kama Games, miziki, movies na video mbalimbali weka kwenye HDD.