Computer practical kwenye usaili

Computer practical kwenye usaili

JeyJey

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
7
Reaction score
3
Habari!
Naomba kusaidiwa kwa mwenye uelewa,hivi hii interview ya computer practical inakuwaje? Na pia natakiwa kujua mambo gani kabla ya kuingia kwenye interview ya computer practical?
 
Your question did not give enough details to provide a meaningful answer.

Are you the interviewer or the interviewee?

Is this for a job, education or otherwise?

What level? Area of specialization? Are you solely responsible or are you part of a group?

Will you have to do a demonstration? If so, have you prepared the material/ code/ program and tested on the demonstration platform? Do you have a backup of the code/ program easily accessible in case of an unforeseen issue that will need a backup plan?

If for a career, what does the job specification state?

If for academic purposes, again what is the level? What is the objective? Is this part of an academic project? If yes, is there an accompanying project /coding? What was it based upon?

I am asking these questions before giving you the answer you want because the answers needed by a Word Processing Assistant interview or a similar academic project are vastly different from the answers given in a Ph.D defense that will critique how obsolete the OSI Model is.
 
Inategemea umeandika nini ktk cv yako,kila ulichoandaka jitahudi ukijue kukifanyia kazi
 
ni kwa ajili kazi katika taasisi ya serikali itambulika kama e-Government,ni kwa ajili ya msailiwa
 
Swali bila job description ni kubahatisha kuwinda kizani.

Job description ita stick kwenye objectives na priorities za taasisi hiyo.

Kama nilivyosema mwanzo, swali halina jibu moja.

Ila wakikuuliza unawezaje kuboresha huduma za IT utawajibuje?

Mimi ningependa kuona serikali na taasisi zake/ mashirika yake wanakuwa wawazi zaidi na waongeze kutoa meaningful data kwa wananchi, sio tu kwenye websites, bali hata in downloadable format.

Mfano halisi ni matokeo ya Form Four yaliyotolewa hivi karibuni.

Tunajua nchi yetu ina matatizo ya internet connectivity, baraza la mitihani walitakiwa kutoa ki file kama hiki hapa

Downloading: CSEE2012.zip - Uploadingit

Kidogo tu ambacho mtu anaweza kuki download kwenye laptop yake kwa dakika mbili tatu akiwa kwenye internet cafe, halafu aka disconnect akiwa na data za matokeo ya nchi nzima kwenye computer yake, bila kuhitaji kuwa na internet connection.

Lakini tafuta file kama hilo kutoka NECTA, huwezi kukuta. Inaonekana watu wa IT NECTA hawako practical.

Kwa hiyo kuna watu wengine wanataka kuzidadavua hizi data, tusiishie kutaka websites tu, tunataka tools za data analysis tuone patterns ambazo kwa juu juu hatuzioni.

Huu ni mfano mmoja tu wa unavyoweza kupeleka usaili na kuonyesha una kitu cha kuchangia.

Lakini kuelewa zaidi nini kinatakiwa angalia job description. Inawezekana wao priority yao ikawa security zaidi kuliko transparency na wewe uki emphasize transparency ukawapeleka kusiko.
 
asante
 
Kiranga amesema ukweli mtupu. Pia komaa na CV yako na ishu za e-gov usijue zitakusaidia pia.
 
Back
Top Bottom