Kama ulichoambiwa na watalam wengine kisiposiaidia jaribu kubadlisha na monitor. Maana ukisema its blinking(chenga chenga) ni dalili ya mamtizo ya monitor na kompyuta.
Otheri wise kama kwenye screen unaona ujumbe uandike hapa au kama ukiwasha huoni kitu na unasikia Beeps mbili au tatu au nne , ect basi dondosha maelezo hapa