Computer ndio Rafiki yangu mkubwa..........

Wazungu huwa akili zao kama zinascratch saana sijui hata wanatupigaje gap kwenye innovation.

Ingekuwa mswahili hapo, lazima mashuka yake yangekuwa yameandikwa Milembe hospital.
 
Kuwa innovative inaelekea ni lazima uwe chizi kwa kiwango fulani; huoni wakina EINSTEIN walikuwa wanavaa viatu bila soksi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…