TAHADHARI [emoji599]: Kuna mambo mchache ya kutambua hasa pale unapoona HDD Ya Laptop au Desktop yako imeonyesha Dalili hizi;
1. Kuzunguka/ ku-load kwa muda mrefu sana bila kumaliza.
2. Laptop / Desktop kuwa nzito saana.
3. Ukisoma Hdd life inakuambia 0% na kuonyesha hali ya hatari kuwa inaelekea kufa.
4. Kuleta " blue screen"
5. BIOS Kushindwa kufanya kazi hasa unapowasha laptop yako.
6. Msuguano wa kimakenikia ndani ya HDD unaopelekea HDD kupiga kelele.
Haya ndio mambo makubwa tapelekeayo HDD Kuharibika;
1. Hdd kujaa kwa kiwango kikubwa, kitendo kinachopekekea Hdd kushindwa kufanya kazi ya kutunza data.
2. Hdd kushambuliwa na Virusi hasa kwa wale wasiokuwa na utaratibu wa kuweka Antivirus.
3. Hdd kumwagikiwa na kimiminika kama Maji, Soda, Maziwa n.k.
4. Laptop/ Desktop kuwa na kiwango kikubwa cha joto, ambacho uathiri mfumo wa sumaku kwenye HDD.
5.Uwepo wa Umeme usiotulia, hasa umeme unaokatika na kurudi, ambapo nao hupelekea kuathiri Mfumo mzima wa HDD.
6.Tatizo la " Hardware" hii ni hasa unapodondosha HDD au kuigonga na kitu kizito.
Je baada ya Kupima andiko hili unatamani kuwa na HDD zaidi ya hiyo uliyonayo?
Je HDD ya laptop/ Desktop yako imejaa kwa kiwango kikubwa zaidi?
Je unahisi kiwango/ muda wa kuishi wa HDD (life span) yako ni kubwa sana?
Basi USIPITWE na OFA hii ya Christmas na Mwaka mpya hii ambayo haitajirudia.
Hdd 500GB Mpya za Laptop/ Desktop ni Tsh. 60,000/= Badala ya 65,000/=[emoji818][emoji818]
HDd 1TB Mpya za Laptop/ Desktop ni Tsh. 115,000/= Badala 125,000/=[emoji818][emoji818]
CHANGAMKIA FURSA HII NDANI YA MWEZI HUU[emoji91]
[emoji625] KUMBUKA : Tunafanya FREE DELIVERY kwa Walioko Mkoa wa Dar es salaam, kwa walioko Mikoa Mingine, upo utaratibu mzuri wa kukufikishia bidhaa tako.
Tupigie/ Tuma SMS/ Whatsapp:
Call +255 68 727 8659
+255 767 466 943
Email:
intouchinfotec@gmail.com
Tunapatikana Tegeta, Dar es salaam Tz
Pia tembelea katika mitandao yetu ya kijamii
FB Intouch infotech
IG @intouch_infotech
Karibu sana.
Creativity is our specialty