Tumia Tinnywall Firewall! Ukisha Install Weka Option Ya Block All! Then Nenda Kweny Whitelist Ruhusu Program Unazotaka Kutumia Internet Mfano IDM, OPERA, UTORRENT Zingine Zima! Bac Uta Enjoy Bundle Lako Vizur! My Friend Unaweza Kuweka Moderm Ukalala Mpaka Asubuhi Ukakuta MB Zero Zimetumika!! Tafuta Tinnywalk Mkuu Hutajutia Ni Free Software
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hii kitu di wa kutumia bando la 500 imenifanya niichukie window 10 hakuna raha ya computer tena
Zima eindow updates..!Na mimi nina hilo tatizo. Mwanzoni nikapanic voda wananiibia ila nikagundua bundle inaisha haraka nikiconnect kwenye laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupe mrejesho kama ii ilifanikiwa na mm nijaribu maana ilo tatizo na mm linanitesa kweliAsante saana mkuu, nimesha disable ngoja niunge tena data nijaribu
Angalia apps zinazorun background kwa kufungua Task manager kisha disable hizo apps simple tu.Ndugu wana jamvi, salamu.
Nina laptop aina ya dell yenye windows 10 pro inatumia bando vibaya saana. Nimejaribu ku deactivate updates zote zinazoweza kufanyika automatically lakini sijafanikiwa kutatua tatizo.
Mara ya mwisho nimenunua 2GB za data lakini zimeisha ndani ya nusu saa kwa kuperuzi kurasa za kawaida mitandaoni(hakuna faili lolote kubwa nililoshusha)
Naomba yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani!
Na windows 10 ilivyo ya kipuuzi sio kama windows 7 ukizima update kwa muda mrefu utakuja kushangaza window inazingua na badae utakuja ku corupt,kubali tu kuwa lazima kuna siku uwe unaweka bando la kutosha just kwa kazi hyo tuu kama unataka kuendelea kuitumia windows 10Nimeshazima zote hizo mkuu
mm nilikwama sina account ya master card
Hapo lazima ushindwe leta pesa ulipiwemm nilikwama sina account ya master card
Tupe tips ya hii kitu mkuu