Computer kutumia Bando kinyume na Matarajio

Computer kutumia Bando kinyume na Matarajio

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
688
Reaction score
796
Ndugu wana jamvi, salamu.

Nina laptop aina ya dell yenye windows 10 pro inatumia bando vibaya saana. Nimejaribu ku deactivate updates zote zinazoweza kufanyika automatically lakini sijafanikiwa kutatua tatizo.

Mara ya mwisho nimenunua 2GB za data lakini zimeisha ndani ya nusu saa kwa kuperuzi kurasa za kawaida mitandaoni(hakuna faili lolote kubwa nililoshusha)

Naomba yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.

Natanguliza Shukrani!
 
hello, mkuu kumbuka window 10 ni universal operating system so inatabia ya kujiupdate automatic always ikiacess internet connection, solution ni nenda setting kwny section ya internet connection then activate METERED CONNECTION yaan iwe on, for sure tatzo ilo litaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. right click kwenye task bar (ile bar ya chini kabisa), go to task manager > performance > open resource monitor

then nenda kwenye tab ya Network > network activity > network utilization

unga net na pc yako then angalia hapo nani anachezea spidi kubwa ( B/sec) ndio uyo anaemaliza bando lako

2. kum disable nenda control panel > system security > windows firewall > advanced setting > outbound rules

apa utaweza block programs zisitumie net yako

right click outbound rules > program > next . chagua program inayokula net , then OKAY
 
Matumizi mazuri ya windows 10 weka bando la kutosha hasa la usiku update adi imalize then utatumia Bila hofu, option ya ku pause update unaanzia kwenye 1803 version, ambapo ni mwezi moja hivi itarudi kwenye update, option nyingine kama unatumia hot-spot unaweza ku set metered connection na hautaweza kutumia bado kufanya update, Hii option ipo kwa matumizi ya wifi only

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Haya makitu yako huko background yanaji update nafanyaje kuyasitisha mkuu

Kama ni muvi au series unadownload ni kufungua tu hiyo app kama ni utorrent au youtube downloader au yoyote kisha pause. Au ni auto update iko on, ukaiweke off.

Ila kuepuka hili, kama ni windows update, ungeweka kifurushi cha kutosha uiweke mashine yako up to date baada ya kuwa up to date hautaliwa unaona haya matatizo.
 
1. right click kwenye task bar (ile bar ya chini kabisa), go to task manager > performance > open resource monitor

then nenda kwenye tab ya Network > network activity > network utilization

unga net na pc yako then angalia hapo nani anachezea spidi kubwa ( B/sec) ndio uyo anaemaliza bando lako

2. kum disable nenda control panel > system security > windows firewall > advanced setting > outbound rules

apa utaweza block programs zisitumie net yako

right click outbound rules > program > next . chagua program inayokula net , then OKAY

Asante saana mkuu, nimesha disable ngoja niunge tena data nijaribu
 
Unlimited internet data solution
IMG_20180727_163311_448.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wana jamvi, salamu.

Nina laptop aina ya dell yenye windows 10 pro inatumia bando vibaya saana. Nimejaribu ku deactivate updates zote zinazoweza kufanyika automatically lakini sijafanikiwa kutatua tatizo.

Mara ya mwisho nimenunua 2GB za data lakini zimeisha ndani ya nusu saa kwa kuperuzi kurasa za kawaida mitandaoni(hakuna faili lolote kubwa nililoshusha)

Naomba yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.

Natanguliza Shukrani!
Funga windows updates
 
Tumia Tinnywall Firewall! Ukisha Install Weka Option Ya Block All! Then Nenda Kweny Whitelist Ruhusu Program Unazotaka Kutumia Internet Mfano IDM, OPERA, UTORRENT Zingine Zima! Bac Uta Enjoy Bundle Lako Vizur! My Friend Unaweza Kuweka Moderm Ukalala Mpaka Asubuhi Ukakuta MB Zero Zimetumika!! Tafuta Tinnywalk Mkuu Hutajutia Ni Free Software

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom