Computer haitoi sauti. msaada tafadhali

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Computer yangu haitoi sauti. Nikiangalia kwenye sounds and audio devices inaniambia "NO AUDIO DEVICE"

Nikijaribu kucheza windows media player inaniambia

"windows media can not play the file bcause there is a problem with your sound device. There might not be a sound device installed on your computer. it might be in use by another programme or might not be functioning properly"

Nimeangalia properties za driver zote ni "enabled and functioning properly"!!

Nifanyeje?
 
Ishu ni audio drivers tu, find audio controller driver maisha yatakua safi
 
Kama una uhakika kuwa computer yako ina speaker, ng'oa drivers za sound weka upya, au nyingine
 
Mkuu,maelezo ulopewa yanatosha kutatua hilo tatizo,toa feedback bas .
 

kutokana na maelezo yako inaonyesha kuwa computer yako haina drivers za sound. Cha kufanya tembelea manufacturer's website ambao walitengeza computer yako ili kuweza kudownload drivers hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…