Nenda kasome cyber apo dodoma mdogo wangu,kwanini kwasababu kwasasa hakuna chuo kinachotoa iyo course Tanzania hii zaidi ya UDOM na Pili iyo course Haina watu wengi japo inahitaji sana potential yako ,pia kazi ni chache laiki zinatoka Chamuhimu uwezo wako na nguvu yakujua mambo inahitajika sana lakini Cha mwisho nikwamba apo kudisco ni kawaida sana