Poleni na kazi wadau..nahitaji desktop computer 10 ziwe na specification ndogo na za kawaida.nko mbeya mawasialiano yangu n 0716134171 naomba serious seller tufanye biashara.
una maanisha nn kusema specification ndogo?? Mm ningeona ni bora u specify ndipo tulio serious tukuuzie....kwa mfano mm nna uza desktop yangu lakin nashindwa kujua kuwa ni ndogo au kubwa kwan hujaspecify mahitaji yako