Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,432
- 8,380
Nataka kununua "used desktop computer", ila sina utaalamu wa kujua computer aina gani ni nzuri.
Hivyo naomba msaada ninunue aina gani pamoja na 'specifications' zake na je, zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
Bila kusahau bei zake tafadhali.
inategemea na matumizi.. Unahitaji P.c kwaajili ya matumizi gani? Nyumban, Ofisini au?
Inategemea na kazi unayotaka kufanya nayo, brands nzuri ni pamoja na HP au DELL, kwa pc used nyingi zinaanza na 190000 mpaka 350000 inategemea na ukubwa wa processor, RAM na HARD DISC DRIVE. Sema una sh ngapi nikutafutie nzuri.
Asante Ndugu Fadhili kwa ushauri wako. Natafuta kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, kwa ajili ya wanangu wako shule ya msingi. Bei isizidi laki 2