Computa ya P-Funkd majani ni nooma!

Huyo ndiyo P-Funk Majani akiwa kazini!​




HAPA KAZI TU!
​
Hii computer ilikuwa kwa Rashid shamte yule mhujumu uchumi wa push mobile ilikuwa ikutumiwa kwenye Uchakachuaji matokeo ya juzi juzi, hata huyo p funk ni mshirika wa Rashid shamte kwenye biashara wana shea za pamoja.
 
CHA AJABU NINI SASA HAPO. AU HIYO ALAMA YA MWENGE NA RANGI NYEKUNDU?
 
Mleta Uzi huu siyo mzima....boya fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…