britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,270
- 49,064
A monkey doesn’t see its own ass!Charles is an astute political analyst, and I concur with his second proposition. Regarding the first assertion that Lema has committed treachery, I remain highly skeptical until substantive verification is adduced.
The second proposition concedes that indeed there exists a constricted democratic space within CHADEMA. This is not inherently detrimental, however, the democratic deficit within CHADEMA is comparatively more tolerable than that prevailing in other political formations such as CCM and ACT Wazalendo.
WHY DO ALLEGATIONS OF BETRAYAL WITHIN CCM FAIL TO PERMEATE THE PUBLIC DOMAIN?
It is because they resolve internal contradictions through the coercive apparatus of the state. In other words, once you are identified as ideologically divergent from your comrades, you are branded a traitor and you are incapacitated from even convening a press conference. For at that precise moment you are encircled and placed under security surveillance, and they annihilate you in utter silence!
Consequently, ideological dissent in all parties is equated to betrayal or espionage, but within opposition parties it is exceedingly facile to label someone a traitor because the party lacks state instruments to sanction a member who has ideologically diverged.
What such a member will do is convene a press conference to declare, "I hold these views." Hence, the sole recourse for his erstwhile colleagues who are at variance with him is to subject him to character assassination by alleging that he has been compromised or purchased. And that is precisely what is transpiring within CHADEMA.
Yet we, the members of CCM, have digressed and embarked on a narrative that CHADEMA is devoid of democracy, that there is an intolerance of ideas. Let me jog your memory:
What of Axon Tulia? What of Kasim Majaliwa who was confined in detention for several hours without his knowledge that he was under detention, merely to preclude him from collecting nomination forms? What of Ndugai? What of Samuel Sitta who was outmaneuvered overnight on the pretext that a female Speaker was now desired?
THEREFORE, LET CCM CONCERN ITSELF WITH ITS OWN INTERNAL CONTRADICTIONS AND DESIST FROM INTERFERING IN THE AFFAIRS OF CHADEMA.
View attachment 3703526
Britanicca
Sasa hapa Heche kaingiaje?Heche amekua adui mkubwa sana wa Demokrasia
Yeye Kila alipo chadema wakipishana ujue Mange ananunua ugomvi.
Swali je Ushirika wa shetani unadumu?
Naomba tu niulize swali.Ngoja wale wa Kayumba wenzangu nitafsiri
Hii hapa nimeikata na kuiweka vizuri bila kubadilisha maana ya jamaa
TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU
Charles ni mchambuzi mzuri, ndiyo naenda na hiyo point yake ya pili. Point ya kwanza kwamba Lema kasaliti, sii amini sana mpaka tujiridhishe.
Point ya pili ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Democracy. Si vibaya, ila ufinyu wa Democracy wa CHADEMA ni nafuu kuliko wa vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo.
Kwanini tuhuma za kusalitiana za CCM hazisambai?
Ni kwa sababu wanashughulikiana kidola-dola. Yaani ukigundulika umekuwa tofauti na wenzako, utaitwa msaliti na huwezi kutoka nje kuitisha hata Press. Maana muda huo huo unazingirwa na kuwekwa chini ya ulinzi, wanakumaliza kimya kimya!
Hivyo, kutofautiana kwa mawazo kwenye vyama vyote huitwa usaliti au UYuda. Lakini kwenye vyama vya Upinzani, ni rahisi sana kusema mtu kasaliti kwa kuwa chama hakina vyombo vya dola vya kumwajibisha aliyeenda tofauti kimawazo.
Atakachofanya ni kuitisha Press aseme "Nina mawazo haya". Hivyo namna pekee ya wenzake waliotofautiana naye kumwadhibu ni kwa kusema "kalamba asali" au "kanunuliwa". Na ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA.
Lakini sisi wa CCM tumeingia mkenge na kuanza kusema CHADEMA hakuna democracy, ooo mara kuna ufinyu wa mawazo. Nawakumbushe:
Enhee, vipi Axon Tulia? Vipi Kasimu Majaliwa aliyefungiwa kizuizini masaa kadhaa bila kujua kama yuko kizuizini ili asichukue fomu? Vipi Ndugai? Vipi Samwel Sitta ambaye alipigwa chenga usiku kuwa sasa tunataka Spika mwanamke?
Kwahiyo CCM shughulikeni na ya kwenu, ya CHADEMA yaacheni.
MIMI NIMEAMUA NITULIE TULI, NA KISHA NITEME NYONGO!TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU
Pointi ya Lema kuwa "msaliti" inajibainisha yenyewe, siyo mara moja, bali imekuwa ni kila anapofungua mdomo wake kukizungumzia chama chake. Hana neno zuri hata kwa viongozi wenzie tangu aliposemekana kulalamikia pesa za tonetone. Kwa hiyo kwake sasa imekuwa ni kawaida kwenda kinyume na viongozi wenzake. Mbaya zaidi, yote haya anayatoa nje ya taratibu za kichama. Mtu anayetaka kujenga chama hatafuti sauti kubwa nje ya chama aungwe mkono huko.Point ya kwanza kwamba Lema kasaliti, sii amini sana mpaka tujiridhishe
Kama CHADEMA kuna "ufinyu wa demokrasia" huko kwingine sijui kukoje?Point ya pili ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Democracy. Si vibaya, ila ufinyu wa Democracy wa CHADEMA ni nafuu kuliko wa vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo.
A stitch in time saves nine.Charles is an astute political analyst, and I concur with his second proposition. Regarding the first assertion that Lema has committed treachery, I remain highly skeptical until substantive verification is adduced.
The second proposition concedes that indeed there exists a constricted democratic space within CHADEMA. This is not inherently detrimental, however, the democratic deficit within CHADEMA is comparatively more tolerable than that prevailing in other political formations such as CCM and ACT Wazalendo.
WHY DO ALLEGATIONS OF BETRAYAL WITHIN CCM FAIL TO PERMEATE THE PUBLIC DOMAIN?
It is because they resolve internal contradictions through the coercive apparatus of the state. In other words, once you are identified as ideologically divergent from your comrades, you are branded a traitor and you are incapacitated from even convening a press conference. For at that precise moment you are encircled and placed under security surveillance, and they annihilate you in utter silence!
Consequently, ideological dissent in all parties is equated to betrayal or espionage, but within opposition parties it is exceedingly facile to label someone a traitor because the party lacks state instruments to sanction a member who has ideologically diverged.
What such a member will do is convene a press conference to declare, "I hold these views." Hence, the sole recourse for his erstwhile colleagues who are at variance with him is to subject him to character assassination by alleging that he has been compromised or purchased. And that is precisely what is transpiring within CHADEMA.
Yet we, the members of CCM, have digressed and embarked on a narrative that CHADEMA is devoid of democracy, that there is an intolerance of ideas. Let me jog your memory:
What of Axon Tulia? What of Kasim Majaliwa who was confined in detention for several hours without his knowledge that he was under detention, merely to preclude him from collecting nomination forms? What of Ndugai? What of Samuel Sitta who was outmaneuvered overnight on the pretext that a female Speaker was now desired?
THEREFORE, LET CCM CONCERN ITSELF WITH ITS OWN INTERNAL CONTRADICTIONS AND DESIST FROM INTERFERING IN THE AFFAIRS OF CHADEMA.
View attachment 3703526
Britanicca
Heche ameyakaba kwenye koo machoko na anayapelekea moto kweli kweli na ninapenda aongeze moto.Heche amekua adui mkubwa sana wa Demokrasia
Yeye Kila alipo chadema wakipishana ujue Mange ananunua ugomvi.
Swali je Ushirika wa shetani unadumu?
Lema kusema nje ya utaratibu ndio demokrasia yenyewe maana hata CCM kina Mpina nk nk wamekuwa walifanya hivyo Kila mara waliopona hoja za kweli wazisemazo ndani ya party circus hazifanyiwi kazi na tume kuwa tukiunga mkono.MIMI NIMEAMUA NITULIE TULI, NA KISHA NITEME NYONGO!
Twende hatua kwa hatua:
Pointi ya Lema kuwa "msaliti" inajibainisha yenyewe, siyo mara moja, bali imekuwa ni kila anapofungua mdomo wake kukizungumzia chama chake. Hana neno zuri hata kwa viongozi wenzie tangu aliposemekana kulalamikia pesa za tonetone. Kwa hiyo kwake sasa imekuwa ni kawaida kwenda kinyume na viongozi wenzake. Mbaya zaidi, yote haya anayatoa nje ya taratibu za kichama. Mtu anayetaka kujenga chama hatafuti sauti kubwa nje ya chama aungwe mkono huko.
Hii demokrasia ya kusafisha uchafu wa ndani hadharani ulionekana sehemu gani duniani. Demokrasia haiondoi nidhamu kwa wahusika. Unapotoka nje ya taratibu za chama na kwenda kushirikiana na mahasimu, ukisemwa ulie kunyimwa demokrasia?
Lema aliingiza mambo ndani ya chama na kusubiri aone kama kuna kundi ndani ya chama litajipanga upande wake; kakuta hana kundi tena. Wote ambao wangekuwa naye, walishafungashiwa vilago. Lema kajikuta mpweke sana, ndiyo sababu anawatafuta hadi akina Sugu.
Na zaidi ya yote hayo, licha ya kuwa chanzo cha mitafaruku, Lema kajikuta kama anapuuzwa ndani ya chama. Hakuna kiongozi wa chama anayehangaika na maswala yake. Hili litakuwa linamuumiza sana moyoni mwake. Kupuuzwa siyo jambo la heshima hata siku moja.
Kama CHADEMA kuna "ufinyu wa demokrasia" huko kwingine sijui kukoje?
Kwa vyama vyote, sijui 20 au zaidi, ni kipi kinachoisogelea CHADEMA hata kwa mbali kabisa.
Ule uchaguzi uliofanyika ndani ya chama, nchi hii ingefanya tu hata robo yake kwa mfano huo, Tanzania ingekuwa ni nchi bora kabisa.
Sasa eleza "ufinyu wa demokrasia CHADEMA" vigezo vyake ni vipi?
Si huyo Lema kayasema yote hayo aliyotaka kusema, kazuiwa na nani?
Ni nani huyu anayepima demokrasia ndani ya CHADEMA? Kumetolewa 'MEMO' ndani ya chama wanachama wake wasizungumzie jambo lolote?.
hao wanaomlaumu Lema kutoka nje ya chama na kuyapeleka maswala ya chama nje, hawatakiwi nao kutoa maoni yao?
Kwa hiyo nimalize tu kwa kusema kuwa, hii ni mada isiyokuwa na msingi wowote wa uhalisia wa mambo yalivyo. Na ukitazama vizuri, hizi kelele zote ni kutoka huko huko kusikokuwa na hata chembe ndogo ya uhuru wa maoni.
Samia akishasema neno, hilo ndilo, maaskari wake akina Bashite, Joseph Kasheku, Kibajaji na wengi wa aina hiyo ndio maaskari wa ku'enforce' amri. Halafu huku nje, wanakuja kupiga kelele za demokrasia ndani ya CHADEMA.
ndio anashirikiana na Akina Mange kuwatukana Viongozi wa Kamati Kuu.Sasa hapa Heche kaingiaje?
Huu tunauweka kama Uzi unaojitegemea kwa lugha ya kiswahili ili hata chawa kama @Tlaatlah na Lucas Mwashambwa wasome na kuelewa..Ngoja wale wa Kayumba wenzangu nitafsiri
Hii hapa nimeikata na kuiweka vizuri bila kubadilisha maana ya jamaa
TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU
Charles ni mchambuzi mzuri, ndiyo naenda na hiyo point yake ya pili. Point ya kwanza kwamba Lema kasaliti, sii amini sana mpaka tujiridhishe.
Point ya pili ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Democracy. Si vibaya, ila ufinyu wa Democracy wa CHADEMA ni nafuu kuliko wa vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo.
Kwanini tuhuma za kusalitiana za CCM hazisambai?
Ni kwa sababu wanashughulikiana kidola-dola. Yaani ukigundulika umekuwa tofauti na wenzako, utaitwa msaliti na huwezi kutoka nje kuitisha hata Press. Maana muda huo huo unazingirwa na kuwekwa chini ya ulinzi, wanakumaliza kimya kimya!
Hivyo, kutofautiana kwa mawazo kwenye vyama vyote huitwa usaliti au UYuda. Lakini kwenye vyama vya Upinzani, ni rahisi sana kusema mtu kasaliti kwa kuwa chama hakina vyombo vya dola vya kumwajibisha aliyeenda tofauti kimawazo.
Atakachofanya ni kuitisha Press aseme "Nina mawazo haya". Hivyo namna pekee ya wenzake waliotofautiana naye kumwadhibu ni kwa kusema "kalamba asali" au "kanunuliwa". Na ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA.
Lakini sisi wa CCM tumeingia mkenge na kuanza kusema CHADEMA hakuna democracy, ooo mara kuna ufinyu wa mawazo. Nawakumbushe:
Enhee, vipi Axon Tulia? Vipi Kasimu Majaliwa aliyefungiwa kizuizini masaa kadhaa bila kujua kama yuko kizuizini ili asichukue fomu? Vipi Ndugai? Vipi Samwel Sitta ambaye alipigwa chenga usiku kuwa sasa tunataka Spika mwanamke?
Kwahiyo CCM shughulikeni na ya kwenu, ya CHADEMA yaacheni.
Mimi kama mojawapo wa kayumba nasema asante sana.Ngoja wale wa Kayumba wenzangu nitafsiri

Hata hao wa mediums hawawezi ku digest hiyo!!Mimi kama mojawapo wa kayumba nasema asante sana.
japo kayumba wenzangu watasoma tafasiri hii kimya kimya bila shukrani.
Huo ndio ukweli kabisa.Hata hao wa mediums hawawezi ku digest hiyo!!
Walimu wenyewe WA mediums ni waganda na wakenya ambao wanaongea kingereza cha kikuyu na kiluo!
Ili u digest hiyo uwe na tabia ya kusoma novels za mbele za kina james Hadley charz!na akina Napoleon Hill na wengineo plus ku cheki English documentaries za kimedani!!