Magonjwa mengi yanajulikana chanzo, ndiyo maana wataalamu wanagundua dawa!
Ngoja nikufumbue macho kidogo:
1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
Si mchezo!

Mgonjwa A katibiwa na Dr X Akapona = LEGIT
Mgonjwa B katibiwa na Mungu akapona = NEVER
We umeona mtiririko wako hapo juu uko sawa?
Unapo jadiriana na mimi, jifunze kubakia kwenye mada na sio kukimbia na kuchomekeza vitu usivyo vielewa. TUBAKIE KWENYE MADA YAKO YA MADKATARI. AU MADA YAKO IMESHA KUSHINDA, NA UNAANZA UTAMADUNU ULE ULE WA GOD DOES NOT EXISTS?Mgonjwa A katibiwa na Dr X Akapona = LEGIT
Mgonjwa B katibiwa na Mungu akapona = NEVER
Unapo jadiriana na mimi, jifunze kubakia kwenye mada na sio kukimbia na kuchomekeza vitu usivyo vielewa. TUBAKIE KWENYE MADA YAKO YA MADKATARI. AU MADA YAKO IMESHA KUSHINDA, NA UNAANZA UTAMADUNU ULE ULE WA GOD DOES NOT EXISTS?
SASA NAWEKA ARGUMENT YANGU TENA
1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
Nataka utumie empirical facts and inapo wezekana weka na links kusaidia jibu lako.
1;Ili sayansi ifanye kazi inategemea kanuni zinazousimamia ulimwengu huu ziwe kamili bila kuyumbishwa vinginevyo hawawezi kufanya kazi yao vyema
2;Uhai wa huyo anaefanyiwa upasuaji unaegemea kwa hao madaktari wakiwa timamu kiakili na kiafya,yote haya hayako kwenye mamlaka yao bali mwingine ambae ni Mungu
Kama unabisha thibitisha kuwa hayo yote yanatoka pengine na sio kwa Mungu
Unapo jadiriana na mimi, jifunze kubakia kwenye mada na sio kukimbia na kuchomekeza vitu usivyo vielewa. TUBAKIE KWENYE MADA YAKO YA MADKATARI. AU MADA YAKO IMESHA KUSHINDA, NA UNAANZA UTAMADUNU ULE ULE WA GOD DOES NOT EXISTS?
SASA NAWEKA ARGUMENT YANGU TENA
1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
Nataka utumie empirical facts and inapo wezekana weka na links kusaidia jibu lako.
I must be talking to a kid here.Unataka kusemaje, daktari mwenye "upako" ndiye anayeponya si dawa?
Unataka tuanze kujifunza basics za baiolojia na kemia?!!!..I though you said tubaki kwenye mada!
Naomba nikurudishie swali hapa, Jee na wewe unaweza kuthibitisha kwamba hayo yote yanatokea kwa uwezo wa Mungu?
I must be talking to a kid here.
Tafuta mwenye ufahamu zaidi yako aje hapa kukusaidia Free ideas upo wapi wewe, njoo umsaidie ndugu yao hapa.
Unataka kusemaje, daktari mwenye "upako" ndiye anayeponya si dawa?
Unataka tuanze kujifunza basics za baiolojia na kemia?!!!..I though you said tubaki kwenye mada!
:hail:I bow to the docs, hands down, thats pure science! Inasikitisha sana mtu ana mgonjwa kwenye critical condition, daktari akiokoa maisha yake shukrani anapewa mungu, how does he even come into this?!!...:wacko:
Kabla ya kuuliza kwanza jibu swali langu kwanza
Au kama unakubali huwezi sema tu!
Aliye create pure science ni Mungu, hata hao madaktari hawakujiumba wala kujizaa, that's the way God comes into picture dude.
Hata kama.hatutaki.kumwita Mungu