feed ndo hiyo
mkuu hapo naona umekua redirected kwingine nahisi sababu ya adds..
simple ingia onhax.net kisha search bitdefender
kuhusu seeder inategemea umeenda kwa uploader yupi pia..bitdefender ni antvirus nzuri haiwez kosa seeder wakutosha..
chukua onhax.net hapo
Kutumia ant virus ya bure Ni bora ubaki na windows defender. Siku hizi hakuna haja ya ant virus hasa kwa matumizi ya nyumbani.
Na kama ant virus haina seeder ujue kimeo na hao wanaoisifia pengine wamelipwa tu tangazo
Toka nime install windows 10 nnatumia 360 Total security.
Nimeipenda.