ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Tujaribu kulinganisha:
eh jamaa kama ile story ya Ngamia na bedui aiseeee, kabadilika kweli au sijui ndo kaonyesha true color yake yaani huyu 2020 hataomba kura atasema ni lazima mnipigieKeshapata alichokua anakitafuta kwa sasa wapiga kura wote mafala.
Naanza kuhisi jamaa ataanzisha mchakato pasiwepo uchaguzi 2020.eh jamaa kama ile story ya Ngamia na bedui aiseeee, kabadilika kweli au sijui ndo kaonyesha true color yake yaani huyu 2020 hataomba kura atasema ni lazima mnipigie
Keshapata alichokua anakitafuta kwa sasa wapiga kura wote mafala.
Kwani mlimchagua au aliiba kura ?eh jamaa kama ile story ya Ngamia na bedui aiseeee, kabadilika kweli au sijui ndo kaonyesha true color yake yaani huyu 2020 hataomba kura atasema ni lazima mnipigie
EGO inamsumbua sana ajirekebishe asikilize wananchi.. atulie awe msikivu na mvumilivu.Namshangaa anavyosema hakuna wa kumpangia kitu hivi alijipigia kura yeye na familia yake kuwa rais?