Kuna taasis ya mikopo inaitwa community loans, cjui kama mmewahi kuisikia! Hii taasisi mm nimeijua kupitia Mh. Halima James Mdee (Mbunge wa Kawe), wanasema wanatoa mikopo, kujisajili online!
Leo asbh nimekuta Mh. yupo online, nikamuuliza juu ya uhalali wa hii taasisi, akajibu ni ya kweli! Nikafunga safari kwenda Mtaa samora Opposite na Habour View(former J Mall), kama wanavyoelekeza ukiwapigia simu! Kufika pale nikapiga simu, nikawaambie nipo hapa, wakaniambia kuna benki ya CRBD kulia ndipo ofcn zetu zipo, wakati namhoji maswali zaidi akakata simu, akaja mshikaji wangu nikatumia simu yake, wakasema subiri hapo tunamtuma mlinzi! Mara hawapokei simu tena!
Hii kampuni ni ya kitapeli, na namba yao ya simu ni 0755410065, juzi kulikuwa na namba ya Tigo wameitoa! Najiuliza kwanini Mh. Mdee anatapeli wananchi kwa kampuni feki?
Polisi wanataarifa juu ya kampuni hii?
Na kwanini wanachukua informations za watu kama Jina lako, mtaa, wilaya yako, Akaunti ya Bank na n.k... Serikali iingilie kati ili kukomesha utapeli huu, na ikiwezekana Mh. Mdee azungumze hili huko bungeni, kwann anaibia wananchi.
Voda kwanini wanasajili namba za makapuni bila kufuatilia na kujua wanafanya nini, na kwann wasiifungie hiyo namba!
Pigeni hiyo namba, ili mjiridhishe.