Wanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama ndyo ni chuo gan?

sheria hawezi pata ila atapata kozi zote za social sciences pia kwa sasa hakuna kozi ambayo ina soko la ajira hakuna kabisa asome kisha ajiandae kisaikolojia tuu kupambana na maisha ila sio kuajiriwa naongea kwa experience