Huwa nawatamani sana waliosoma hizi Course. Japo sijui uhalisia wa ajira ukoje. Ila huwa naona NGO's nyingi zinahitaji watu waliosoma hizo courses. Kuna Social Works pia n.k.Wanajamii hv ukitoa kuwa afisa maendeleo ni kazi nyingine inatokana na hii kozi na vp private.
Na ukifanikiwa kumaliza diploma vp unaweza kujiunga na degree ya sheria
Kwahyo swala la ajira zake zipo nyingi na hata private pia unaweza kuapplyHuwa nawatamani sana waliosoma hizi Course. Japo sijui uhalisia wa ajira ukoje. Ila huwa naona NGO's nyingi zinahitaji watu waliosoma hizo courses. Kuna Social Works pia n.k.
Ukipata shavu kwenye international organisation yoyote basi ushatusua maisha. Maana intern tu kukulipa +1M huwa hawaoni kazi
YesAta mimi nataman xn kusoma ii course..je n chuo gan kinatoa iii course..na km umemaliza kdt cha sita unaruhusiwa kuanzia degreee?
Vp kuhusu chuo kizuri kwa maeneo ya dar es salaam nitaweza pata mkuu ili mwaka uu nijarb ku aply msadaa tafadhari...au chuo chochote kinachotoa koz izo za maendeleo ya jamii plz
Ahhhh mbona hao nao wanahitajika katika kuhamasisha uchumi wa viwandaHili kozi kwa uchumi wa Magu utaishia kuwa mwana harakati wa kisiasa tu!