Commissioner CHAGONJA: AN OBLIQUE STATEMENT

Mr Chagonja was absolutely "off topic." He was only trying his best to be a loyal servant of his master! Hawa ni wale ambao wakistaafu hawataweza kukaa na jamii iliyoamka kama hii ya sasa. Nadhani anahitaji kuhurumiwa kuliko kitu kingine chote. Ila kweli aliongea kwa hasira kweli kweli mpaka nikawa nasema hivi mtu hawezi kuwa askari mpaka aongee kwa vitisho ndio aonekane yuko kazini!!!!!!! Pole chagonja ila uliigeuza kazi yako ya kipolisi kuwa ya kisiasa ama na wewe unajiandaa kugombea ubunge mwaka 2015?????
 
Chaugonjwa alivyoongea halingani na cheo chake. kama alitaka kuilinda CCM, angesema tu kama alivyosema Kova, kwamba tunatekeleza amri ya mahakama...full stop. tena angesema kwa utulivu tu, hakukuwa na haja ya kupandisha presha namna ile. hii habari ya kutoa ushauri wa jinsi ya kuupata urais, hilo halimhusu Chaugonjwa kabisa. yeye ni mtu wa kulinda usalama wa raia na mali zao... basi. CHADEMA ni chama cha siasa kwa mujibu wa katiba ya nchi, wanachofanya ni kwa mujibu wa katiba: chama cha upinzani kinachoipelekesha CCM na dola yake. sasa hata hilo Chaugonjwa hana habari nalo. Kama CHADEMA watahitaji ushauri kuhusu namna ya kufanya siasa, hawawezi kwenda kwa Chaugonjwa..
 
Something in his brain is missing or some files have been corrupted.
New software should be installed instantly otherwise his brain can be damaged permanently.
Medically this might cause a PERSISTENT VEGETATIVE STATE.
 
Well done mkuu,but you seem to contradict yourself.
You are also a thinker with a gear in foward motion with no option for reverse!!!
Suppossing your hypothesis is true-that given any oppurtunity youwill PARALYSE THE SYSTEM to your political advantage!
I'snt that politically naive sir?
And how do you take the ruling party, a bunch of angels in waiting?
They will do the same to you-rub salt and pepper into your wounds and expose all your fallacies to the public for all to see, also given the oppurtunity.
But given your stance, is that we Tanzanians expect of you,our representatives and leaders for a better tommorrow?
Hell NO!
Get your bearings in order because it will not take long for you and fellow cohorts, on the other side , to turn this beutiful country into an Ivory Coast!!
 
chagonja ni kilaza,yaani IQ yake ni kama ya mtoto wa miaka 3,he is too mechanical ,no mental application ,he does not hv a sense of analysing matters,linakurupuka tu,na ndio maana usiku wa saa MANANE lilishiriki kuiba maiti za kaka zetu watz wasonahatia na kwa kutumia kodi za watz.na kuzitelekeza barabarani,they are days r numbered.thanks God most of tzians r awake now.
 
CHAGONJA, hana tofauti na polisi wengine, kwao akili ipo mikononi na kwenye ulimi kwaajili ya kutoa vitisho na mambo mengine ya hovyo hovyo

ila siyo wa Mwanza. Wao wanachukia CCM.
 
Wana jf mmesahau kwamba cp chagonja ni kada wa ccm tangu pale mlimani hivo hata siku moja hatosema lolote la maana juu ya chadema,kwa kuthibitisha hili tusubiri mwaka 2015 baada ya kustaaf tu atagombea ubunge kwa tiket ya gamba part,pale anapoongea mfukoni mwake ana kadi ya ccm,tumpuuze tu huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…