Comments mbalimbali baada ya mechi ya jana

Tatizo hao wasenegal weusi sana,wanatisha so jamaa walikuwa wanawashangaa sana
 
Tulipofuzu tu inatosha, haya mengine haya hayashangazi,kama tuna akili hapa ndiyo tujifunze
 


Sifa tu... Kunatabu gani kutumia lugha rahisi kwa hadhira..

Sijui hao mafollower wake wote ni ma linguistic..
Ukijaribu tu kusoma hayo maneno, unajikuta kila neno unalirudia rudia uone kama linatamkika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…