Comments kwenye blogu hazionekani kwanini?

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Kama picha zinavyojionesha hapo chini. Picha ya kwanza ndivyo hiyo blogu inavyotokea ukitaka kurekebisha sehemu ya
comment ili ziweze kuonekana. Picha ya chini ndivyo inavyotakiwa ionekane na kuweza kurekebisha.
Swali je nifanyeje ili blogu iweze kuwaka ma picha ya pili msaada kwa wenye ujuzi.
samahani nimeshindwa kuziweka picha kuwa kubwa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…