Commentary kuhusu kauli ya Tundu Lissu kwa ushindi wa Kenyatta

Keju

Member
Dec 19, 2016
40
84
Dear all,

Greetings from X part of Tanzania,

As I was watching one clip (source, Azam News), I heard Tundu Lissu's reflections about the 2017 Kenya democratic election, which have made incumbent Uhuru Kenyatta a winner. He strongly urged Tanzanians to learn from our neighbor Kenyans, for allowing prisoners, and expatriates in election participating, and absolutely agree with him. Following to this he talked also about the roles of Chadema in Kenya election being in the side of Jubilee, a ruling part.

My friends, as you all know, the way how politicians play with our minds, he commented by giving an example of CCM, being a friend of ANC, South Africa, FRELIMO, Mozambique etc. and of course, he was correct but with caution, in the sense that those are still ruling political parts in their respective countries. Adding to this, from the best of my knowledge, correct me if I'm wrong, I have never heard, in this world, an opposition political part, supporting its rival ruling counterpart, this has happened, for the first time in Tanzania and I'm sorry to say this, since their 2015 decision, CDM started conducting a prostitute if not an opportunistic-type of politics, and it is affecting miserably its credibility. Based on this, CDM is now a political part we can't rely on, to bring plan B for moving this country ahead, it is a traitor of its own agenda, untrustable and lack clear focus.

With sadness, I didn't hear any comment from this guy, regarding Odinga's claims of election rigging (Uchakachuaji) by Jubilee, Kenyatta's ruling political party, of which these guys do complain on the same problem, and adding to that in our 2015 election, Lowassa et al, gave the same complaint. As we going toward 2020, don't get surprised seeing Lissu et al, using our media strongly urging (huku akitokwa na povu) international communities, ili Tanzania itengwe, isipewe misaada etc because of rigging election.

To this end, there is no true democracy in Africa, and what makes me say this is the brutality and insanity act of killing Chris Msando, a well-trained ICT expert, who could prevent hackers from attempting rigging election and this strongly support likelihood of Odinga's claims to happen in 2017 Kenya election. Based on this, you call yourself democratic African countries? Bado sana. Digital election, is a current threat to the will of people worldwide, particularly in Africa. Na wapinzani wetu hawa wa kidigital, msitegemee chochote, na itafikia watu tutawazoea, na kuwaona wa kawaida tu. Na kupata raisi kama JPM katika dunia ya sasa, hasa Africa, ni neema kutoka kwa Mungu, and let us give him support.


All the best,

K
 
kama odinga (odm) alisupport rulling part 2015 usishangae cdm kussuprt rulling part 2017

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda niseme odinga hajawahi unga mkono CCM alimuunga mkono yeye Kama mtu binafsi kwani hakukuwa na kikao cha chama chake kilichotoa msimamo Kama chama kuwa wanamuunga mkono Magufuli. Upande wa chadema ni tofauti ni kuwa chama kiliweka msimamo kuunga mkono chama tawala cha kenya. Haya ni maajabu ya dunia chama cha upinzani cha nchi moja kuunga mkono chama tawala cha nchi nyigine!!!!!!
 
UKAWA hawajitambui maana hapa wameunga mkono vyama tawala(kongwe) kuendelea kuhodhi madarakani. Basi waendelee kupiga debe maana CCM nayo itskuwa ngumu kuitoa madarakani. Wangeunga mkono wapinzani lakini kwa kutapatapa kwso wameunga mkono chama tawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niseme odinga hajawahi unga mkono CCM alimuunga mkono yeye Kama mtu binafsi kwani hakukuwa na kikao cha chama chake kilichotoa msimamo Kama chama kuwa wanamuunga mkono Magufuli. Upande wa chadema ni tofauti ni kuwa chama kiliweka msimamo kuunga mkono chama tawala cha kenya. Haya ni maajabu ya dunia chama cha upinzani cha nchi moja kuunga mkono chama tawala cha nchi nyigine!!!!!!
mkuu kwani unafikiri this time magufuri alishindwa kutoa tamko la kumuunga rafiki yake kama yeye, position yake ndio imemzuia, the same to odinga alikuwa ni kiongozi wa odm kwa positiom yake kumuunga mkono wakati ule ni sawa na msimamo wa chama hauhihaji hata kikao kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kama CHADEMA wanaunga mkono chama ambacho kinafuata misingi ya Demokrasia tatizo nini? Kwani ni lazima kuunga mkono upinzani ambao umetoa misimamo kuenfesha serikali kama itakatobana mianya ya Demokrasia?
Kwani angeshia Raila Odinga na akaendesha nchi kama rafiki yake JPM CHADEMA wangeendelea kumuunga mkono?

Angeshindwa hUhuru Kenyatta,basi angebaki kua mpinzani na bado CHADEMA wangemuunga mkono.
 
mkuu kwani unafikiri this time magufuri alishindwa kutoa tamko la kumuunga rafiki yake kama yeye, position yake ndio imemzuia, the same to odinga alikuwa ni kiongozi wa odm kwa positiom yake kumuunga mkono wakati ule ni sawa na msimamo wa chama hauhihaji hata kikao kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure
 
mi nilishajitoa muda mrefu sana kutegemea wanasiasa aina kina tundu lissu....kwahiyo anasifia sasa uchaguzi ulienda vzr, sio? sababu pekee ya kufanya hivyo ni kwakuwa sasa wanamuunga mkono uhuru.....wana dhambi sana hawa watu!

hii ni picha halisi ni kwa namna gani watakuwa ikiwa watashika dola....kuna wakati najikuta nasema (samahani) kumbe wanavyofanyiwa na watawala ni sawa tu sbb kuna kila dalili hawa wakawa watesaji na wakandamizaji kuliko kawaida..

ee Mungu endelea kuiepusha nchi yetu kuwa mikononi mwa WANAFIKI NA WAZANDIKI hawa waliopitiliza wa cdm!!!
 
Back
Top Bottom