Command promt

pincode

Member
Joined
May 4, 2012
Messages
89
Points
95

pincode

Member
Joined May 4, 2012
89 95
Kama wewe ni mmojawapo wa watumiaji wa command kwa kufanya vitu vyako na hii ni kwa computer,unawezakuwa umekutana na neno kama hili,"help is not recognized as an internal or external command au hata command yoyote,ushajiuliza ni kwa nn inakuwa hivyo??
Command+Prompt+window.gif (dirisha la command)
Ni tatizo ambalo usuluhishi wake unahitaji kufuatilia maelezo haya kwa undani
CHANZO;haswa ni kubadilishwa kwa path au njia na hii hupatikana katika eneo la ADVANCED SYSTEM SETTINGS SEHEMU YA CONTROL PANNEL.

SULUHISHO;Kwa watumiaji wa windows unapokutana na tatizo hili nenda kwenye drive C ambayo huwa inacontain operating system,fungua folder lililoandikwa WINDOWS,scroll mpaka utakapokutana na folder lingine limeandikwa SYSTEM 32 click kufungua.Baada ya kufungua nenda kwenye task bar click uwaz unaouona na maneno haya yatakuwa highlighted C:\Windows\System32,YAKOPY
Unakumbuka ADVANCED SYSTEM SETTINGS?? NENDA hapo doubleclick katika dirisha utakutana na neno ENVIRONMENTAL VARIABLES KWA CHINI fungua hapo utakutana na hali hii
windows-7-advanced-system-properties.gif
Nenda mahali palipoandikwa path EDIT NA PASTE ILE TULIOITOA KATIKA C:Windows\System32 na hapo utahitaji kuconfirm kwa kupess OK baada ya kubadilisha path na pia OK katika dirisha hilo hapo juu.Ukihitaji maelezo zaidi nipo ntafafanua hope mtafurahia

tech for all loading.......
 

Forum statistics

Threads 1,389,130
Members 527,856
Posts 34,017,923
Top