Coming soon......2013

Hii nzuri zaidi ya haya Mavog
 
Mimi naona ya sasa iko poa kuliko hiyo.
 
Mzee kuwa na hiyo kisha mgao wa ummeme mafuta juu na gharama nyingine juu, lazima uwe nza vyanzo mtambuka vya mapato. But the car is good:msela:
 
A little bit feminine which is good!!:clap2:
 
Allow me to correct you; this Range Rover Evoque is going on sale from summer this year, 2011, and is expected to cost about £ 30,000.
For how long should I work to get about 72,000,000/= Tanganyikan shillings to own it? I need to be a Rostam or something of the kind.
 
bora iliyoko sasa kuliko hii kwa ajili pia inavyoonyesha imeeiga bmw...
 


Miye nakihusudu sana kitu hiki
 
Audiii safi sna mie BMW X6 inanikunaaaa mwaka huu hauishi lazima yaaanii!!!


Very good choice MR kila la heri mwaka usiishe kabla hujatimiza nia yako...Q7 mimi ilinimaliza ndani maana ni kali mno na nje pia inavutia.

 
Very good choice MR kila la heri mwaka usiishe kabla hujatimiza nia yako...Q7 mimi ilinimaliza ndani maana ni kali mno na nje pia inavutia.


Imetulia Q7 safi sna naona hii inawapendeza zaidi kina kaka na nikubwa, BMW vinabana ndani km wewe ni tall lol! :coffee:
 
lOL...Miye hata hilo la zamani sina sasa ukiniwekea hiyo model mpya ndio hasira zinaongezeka kabisa......na ninavyowajua mafisadi wa Bongo likitoka tu lazima watanunua sasa mimi najiandaa tu na mawe yangu, ole wao wakatize nayo mitaani.
 
Audiii safi sna mie BMW X6 inanikunaaaa mwaka huu hauishi lazima yaaanii!!![/QUOTE]
Magari kama hayo hayahitaji uwe na fedha ya mawazo, yaani kuanzia service zake, gharama ya mafuta na inabidi ukinunua uwe na gari zaidi ya hilo mwisho lazima umiliki bastola kwa usalama wako! Mimi naona Corolla Fielder inanitosha kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…