Comedy yafikisha viewers milioni moja ndani ya saa

Ashelimo

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
45
Reaction score
29
Wanasema kizuri kula na ndugu zako. Nimeona mstaa wengi wa bongo wakifikisha viewers Millioni moja ndani ya siku nzima, Lakini hii sasa ni kiboko. Msanii anayechipukia katika comedy Mtambo ambaye kwa sasa amehamishia shughuli zake wilayani Lushoto amefikisha viewers 1.03M ndani ya saa moja na kuushangaza ulimwengu wa wachekeshaji. Sitaki usumbuke tembelea kiunganishi hiki ili uweze kushudia clip hiyo inayosumbua katika ulimwengu wa kiswahili. Kama wewe ni shabiki wa kazi nzuri basi subscribe.
https://youtu.be/7ms7XCk2szg
IMG_2353.JPG
 
Attachments

  • IMG_2348.JPG
    IMG_2348.JPG
    189.7 KB · Views: 37
Ashelimo ww msambaa ni muongo sana, Si ungesema tu ukweli watu wakusapot? yani video miezi miwili zina viewers 34 tu, zingine hazina kabisa, na hiyo uliyoituma haoo ina viewer mmoja tu.
Screenshot_20190210-155027_UC%20Browser.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha uwongo hizo views 1 mil ziko wapi?
Wanasema kizuri kula na ndugu zako. Nimeona mstaa wengi wa bongo wakifikisha viewers Millioni moja ndani ya siku nzima, Lakini hii sasa ni kiboko. Msanii anayechipukia katika comedy Mtambo ambaye kwa sasa amehamishia shughuli zake wilayani Lushoto amefikisha viewers 1.03M ndani ya saa moja na kuushangaza ulimwengu wa wachekeshaji. Sitaki usumbuke tembelea kiunganishi hiki ili uweze kushudia clip hiyo inayosumbua katika ulimwengu wa kiswahili. Kama wewe ni shabiki wa kazi nzuri basi subscribe.
https://youtu.be/7ms7XCk2szg
View attachment 1018977
IMG_20190210_160403.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom