Comedians mnafeli wapi?

Vipi ukimkuta mwanao wa kiume btn 4-10yrs anaigiza kama binti utajiakiaje? Sema kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie jamaa wa aina ya mtoa mada wanakera ile mbaya kuigaza kwake Kama mwanamke wewe inakukera Nini Kama anapata ugali wa kill siku kupitia hiyo style we ninani mpaka umpangie.Neno ushoga limewakaa kichwani mpaka wanashindwa kufikiri.
Mkuu sijataja ushoga nadhani. Au ndio biashara yako? Maadili yanaharibika kutokana na mambo kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uwe masikini wa fedha kuliko kuwa masikini wa kifikra huyo jamaa ana umasikini wa kifikra ndo maana anawaza mambo mabaya huyo Hana tofauti na wale ambao ukiwa tajili basi wewe Freemason au una uza madawa ya kulevya
Mkuu ikiwa utamkuta mwanao mdogo kati ya umri wa miaka 5-10 anajifanya mwanamke utajiskiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia performance zao, appearance zao on stage halafu chukua na akina dulivan wa bongo utaelewa kwanini wabongo wanachefua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…