kwanza ijulikane kabisa kuwa cohabitation does not lead to succesful marriage...actually wakioana tuu haichukui muda wana achana. so unashauriwa kuwa msiishi pamoja kabla ya kuoana...kila mtu aishi kwake.
wanaume ni wanaume tuu na wengi wetu yho tunapenda kugegeda lakini mwanamke akishajiruhusu kuhamia kwa jamaa bila kuolewa tayari value yake imeshuka....ni mwanmke amabye hana morals.
Hii ni kusindikizana kumaliza semista au muda wa masomo...kwenye vyuo watu wanakohabit saana na wengi ni kweli wanaishia kuumizwa 'cause cheating ipo palepale...nimeshuhudia watu wakiishi kama mke na mume na kuzaa kabisa..mwisho wa kisomo ndo ukawa mwisho wa mapenz
Binafsi sishauri kabisa mtu kuingia kwenye mahusiano yasiyo na malengo
mzab kwa migegedo hujambo!lol
anyway unachoongea ni kweli kabisa.
Ati kuhusu value inashuka mhhhh me naona i mean mkiishi pamoja ivo inapunguza makali ya kusalitiana cos kila mtu anafocus anataka ndoa.. So acting to his best behaviour.
We ulishawahi mzab?ama ndo unapinga af unamaliza ugenini?
Hi Chocs..
Uhusiano bana ni taasisi chachu sana...ukivumilia utameza ukishindwa utatema . Kuhusu uhusiano wenye malengo ni ngumu kujua yani af cohabitation ndo inawapa watu moyo mno kuwa tutafikia malengo. Lakini wapi.. Sijui ndo laana yani! Nmeshuhudia na kusikia za wengi sana watu wanakaa hadi 8yrs!!!!!! Then wanaachana apo wametoa mimba za kutosha..ama swalie mtume wamekeep moja ila ndoa kalas unaisikia kwa wenzio
sijaimaliza....!
ngoja nimnyonye maziwa kwanza!!
unanichekesha jmn
miaka sita..uwwiii..ila mi najua kuna laana lazima kwa waasaliti aiseeHiii mbaya sana kuna dada aliish na mwenzake kwa miaka sita akitegemea jamaa atajitambulisha kwao mwisho wa siku ameambulia maumivu tu,na hii inasumbua sana katka mahusiano hutakaa utulie na mpenzi mmoja utaendelea kufanya selection na kuona kila unayempata hakufai!
Laana huwezi ukaiona utabaki unaumia wakati mwenzio anaponda raha na wengine,anatoa simple reason kuwa ameona hamuendani ndoa itawashindamiaka sita..uwwiii..ila mi najua kuna laana lazima kwa waasaliti aisee