Come on mnyika........twafa siye.....

Come on mnyika........twafa siye.....

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Mbunge wangu Mnyika natumaini umzima na unaendelea vizuri.!!
Najua kuwa una mambo mengi ya kutufanyia sisi watu wako wa Ubungo lakin mimi leo nakuomba utusaidie ili si unajua kuwa kata nyingi huku haswa maeneo ya Manzese zinaongwa na MAGAMBA,sasa kila leo ni michango mipya..tulikuwa na mchango wa TAKA TAKA kila room 1000., ulinzi sungusungu 1000, sasa kuna 300 kila room ya usafi wa mitaro.....wasi wasi wangu tukikaa kimya linakuja la kuvuka barabara jero 500 na kuwasha taa barazani 100..

Haya ndo maisha bora kwa kila roho ya KITANZANIA?
 
hilo suala lipo chini ya serikali ya mtaa na ngazi ya halmashauri na hadi likiwashindwa viongozi wa kuchaguliwa yaani m/kiti wa s/mtaa na diwani ndio mbunge anapaswa kuingilia kati, kwani hao nao wanapaswa kuwajibika kwani ni viongozi wa kuchaguliwa. pili suala kama hilo ni la maamuzi ya pamoja kwa m/kiti wa mtaa kuitisha mkutano wa wananchi na kuleta pendekezo na kutolewa maamuzi ya pamoja kwa kuweka kiwango cha fedha, kama hakuna mkutano wa wananchi waliohamua hayo basi usitoe huo mchango. simamia sheria ya seikali ya mtaa ya mwaka 1982.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom