Combination za wapenzi

iv kuna mwanaume zoba ckuiz au ndo hajitambui???
Wapo wengi tu mbona, mwanaume kutimuliwa na mkewe si ndo uzoba huo! Ukibebwa lazima uwe mtulivu vinginevyo unapigwa chini - puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Wapo wengi tu mbona, mwanaume kutimuliwa na mkewe si ndo uzoba huo! Ukibebwa lazima uwe mtulivu vinginevyo unapigwa chini - puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Unasema,......
 
Hivi ile ndoa ya G na komandoo ndi ndii ilikua kwenye category gan hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…